Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu

Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake ambao hawajavaa Hijabu

Shirika la Human Rights Watch limesema agizo hilo linawanyima Wanawake fursa ya kutembea kwa uhuru. Pia, linaondoa uwezekano wa kukimbia ikiwa wanafanyiwa vitendo vya Ukatili nyumbani

=======

Afghanistan’s Taliban authorities have said women seeking to travel long distances should not be offered road transport unless they are accompanied by a close male relative.

The guidance issued on Sunday by the Ministry for the Promotion of Virtue and Prevention of Vice, which also called on vehicle owners to refuse rides to women not wearing headscarves, has drawn condemnation from rights activists.

The move followed the Taliban barring many women in public-sector roles from returning to work in the wake of their August 15 seizure of power, and as girls remain largely cut off from secondary schooling.

It also came despite the group seeking to project a moderate image internationally in a bid to restore aid suspended when the previous government imploded during the final stages of a chaotic military withdrawal by the United States.

“Women travelling for more than 72km (45 miles) should not be offered a ride if they are not accompanied by a close family member,” ministry spokesman Sadeq Akif Muhajir said, specifying that the accompanying man must be a close relative.

The new guidance, circulated on social media networks, also asked people to stop playing music in their vehicles.

Weeks ago, the ministry asked Afghanistan’s television channels to stop showing dramas and soap operas featuring female actors. It also called on female TV journalists to wear headscarves while presenting.

Muhajir said on Sunday the hijab (headscarf) would likewise be required for women seeking transport.

The Taliban’s definition of the hijab – which can range from a hair covering to a face veil or full-body covering – is unclear, and most Afghan women already wear headscarves.

‘Making women prisoners’

Human Rights Watch has slammed the guidance.

“This new order essentially moves … further in the direction of making women prisoners,” Heather Barr, the group’s associate director of women’s rights, told the AFP news agency.

It “shuts off opportunities for them to be able to move about freely, to travel to another city, to do business, (or) to be able to flee if they are facing violence in the home,” Barr added.

Earlier this month, the Taliban issued a decree in the name of their supreme leader instructing the government to enforce women’s rights, but it did not mention girls’ access to education.

On Sunday, Afghanistan’s Minister for Higher Education Abdul Baqi Haqqani said the authorities were discussing the issue.

“The Islamic Emirate is not against women’s education but it is against co-education,” Haqqani told reporters.

“We are working on building an Islamic environment where women could study … it might take some time,” he said, without specifying when girls might return to school and university classes across the country.

Women’s rights were severely curtailed during the Taliban’s previous stint in power in the 1990s.

They were forced to wear the face-covering burqa, only allowed to leave home with a male chaperone and banned from work and education.

Respect for women’s rights has repeatedly been cited by key global donors as a condition for restoring aid.

The United Nations has warned that Afghanistan faces an “avalanche of hunger” this winter, estimating that 22 million citizens face “acute” food shortages.

Source: Al Jazeera
 
What do you expect when aliens reign?
Hawa watu ni wa mapangoni.
Hawajui shule ni nini.
Hawajui utu ni n ini.
Hawajui binadamu ni nani.
Mbaya zaidi hawamjui Mungu ni n ani.
Hawajui maisha n i ni.
Kwao hakuna kitu kinaitwa maendeleo.
Watu waliojaa wivu, fitina na uchungu kwa sababu ya their own backwardness.
Hawa asili yao ni kumwaga damu, kupumua hewa iliyochanganyikana na damu, recreation kwao ni kutesa na kuua wengine, furaha kwao ni human abuse na unrest.

Leo wanakuwa watawala!. Wataua watu wote, wataharibu miundo mbinu yote, watarudi mapangoni na kuendeleza uharifu duniani.

Sasa hivi wanatoa Passport za Afghanistan kwa familia zao, magaidi wa ndani wengine ktuoka mataifa mengine na kuwatawanya duniani. Hawa ni watu wa kutegemea kuongoza watu katika maisha bora na salama? Kwao ni machukizo.
 
wewe wacha kubwabwaja kafir wewe ...

hivi wewe kwa akili yako mgando unadhani haya maisha tuyoishi ndio maisha anayoyataka MwenyeziMungu au tumeshakua wafuasi wa Shetani tu ?

sema we ni kafir huna mipaka ndio maana unabwabwaja tu
 
Hata kuongea kwako, kauli yako, na kichwa chako ni chapa ya allah na mohamed copyright!. Duh.

Kama wewe siyo mfuasi wa shetani, kitu gani kinakufanya uwe na kiu ya kuua watu waiokubaliana na allah wako na ukahaba, ubakaji na usanii wa mohamed wako?
 
😁😁😁
2945737_Act6cD.jpg
 
wewe ni mpumbavu na hujielewi ...
Amri ya kutoua inawahusu waumini ila makafiri ni halali kuwaua....

Mfano.
2 Nyakati 15:13
na ya kwamba ye yote asiyemtafuta Bwana, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, kwamba ni mwanamume au mwanamke.

Hesabu 31:17-18
17 Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.
18 Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.

Kwa kuwa wewe ni kafiri hutaki kufa ili uendelee na kizazi makafiri.... Ila taurati iliyoandikwa sheria ya usiue waumini ila makafiri ilibidi wauliwe hadi kufuru... Watoto wasio na hatia waliuliuliwa pia...
 
Huu unaoandika hapa ni Ukristo? Ndiyo maana mnaambiwa mihamadan ni majuha. Wewe huwei kumfuata muahemeid ukawa na akili timamu.

wewe wacha kubwabwaja kafir wewe ...

hivi wewe kwa akili yako mgando unadhani haya maisha tuyoishi ndio maisha anayoyataka MwenyeziMungu au tumeshakua wafuasi wa Shetani tu ?

sema we ni kafir huna mipaka ndio maana unabwabwaja tu
Mungu ulikutana naye wapi akukuambia vile unapaswa kuishi?.
 
What do you expect when aliens reign?
Hawa watu ni wa mapangoni.
Hawajui shule ni nini.
Hawajui utu ni n ini.
Hawajui binadamu ni nani.
Mbaya zaidi hawamjui Mungu ni n ani.
Hawajui maisha n i ni.
Kwao hakuna kitu kinaitwa maendeleo.
Watu waliojaa wivu, fitina na uchungu kwa sababu ya their own backwardness.
Hawa asili yao ni kumwaga damu, kupumua hewa iliyochanganyikana na damu, recreation kwao ni kutesa na kuua wengine, furaha kwao ni human abuse na unrest.

Leo wanakuwa watawala!. Wataua watu wote, wataharibu miundo mbinu yote, watarudi mapangoni na kuendeleza uharifu duniani.

Sasa hivi wanatoa Passport za Afghanistan kwa familia zao, magaidi wa ndani wengine ktuoka mataifa mengine na kuwatawanya duniani. Hawa ni watu wa kutegemea kuongoza watu katika maisha bora na salama? Kwao ni machukizo.
Hao watalebani ni mauaji makubwa, hayana huruma kabisa, dunia isiitambue serikali hiyo ya kigaidi, haifai!!
 
Huu unaoandika hapa ni Ukristo? Ndiyo maana mnaambiwa mihamadan ni majuha. Wewe huwei kumfuata muahemeid ukawa na akili timamu.

kwa hio hayo yako ndani ya Quran au Biblia ?
unaweza ukawa na akili halafu ukawa kafir ?
 
Back
Top Bottom