Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.

Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.

20241204_101744.jpg
 
Ko washikaji wameamua wachungulie papuchi na kushikashika vinembe vya wake zao wenyewe, wanajaribu kukomesha usaganaji kwa nguvu kubwa sana.

Wako sahihi naunga mkono hoja japo sina dini.
 
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.

Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.

View attachment 3168576
 
MaTaleban wenyewe wameamua kuwa ma gynecology
 
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.

Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.

View attachment 3168576
Mimi pia sioni faida yoyote ya wanawake kuwa vyuo vikuu wengi wala kuwa viongozi ...mfano jeshini cheo cha juu kabisa kwa mwanamke kilitakiwa kuwa KAPTENI tu si zaidi ya hapo
 
Kuna mwanangu mmoja mvaa kipedo aligoma mkewe kusaidiwa na nesi wa kike kwa sababu za kiimani,sasa hii imekaaje mbona mafundisho yanamkanganyiko
 
anayemwagia koozi la kupata mtoto ndie anawajibu wa kuzalisha wanaume wa talibani wajiandae

habari yakuchungiliana k wanawake kwa wanawake hii hapana
 
Back
Top Bottom