Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
MUDI BOY WALA SIYO MTUME WALA YEYE MWENYEWE AJUI MTUME NI KITU GANIHao bikira kama kweli Muddy anao huko aseme,sio mwisho wa siku tunafanya yote haya kumbe bila bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUDI BOY WALA SIYO MTUME WALA YEYE MWENYEWE AJUI MTUME NI KITU GANIHao bikira kama kweli Muddy anao huko aseme,sio mwisho wa siku tunafanya yote haya kumbe bila bila
Katika Dunia ambayo:-Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.View attachment 3168576
Hawa jamaa wana mpango gani asee? Si dhani kama dini yao inataka mtindo huo wa maisha wanayoishi. Dini ni kichaka.Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.
View attachment 3168576
BBC hutowa taarifa nusu bila kutoa pacha halisi wako hasi na TalbanSerikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.
View attachment 3168576
Sema Vatican news, nimesoma bbc sijaiona sio ya english au swahili.Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.
View attachment 3168576
Kwani mkeo akizalishwa na zalishwa na mwanamke tz? Hospital za kanisa zinamfumo huo?Huruma yao ...........utasikia usinitoe udhu.........sasa hapo umemgusa tu mkono ........huko hospital kwenye kupimwa njia wataguswa mpaka na vizazi.................ila daah hili ni jaribu sana ...........inamaana wanataka dada na mama zao wawachungulie ............ ???
Taliban,ambao ni wahabi na salaffiy,wanna uzushi mwingi sana kwenye dini,kuanzia kuvaa niqab nk,sasa mwanamke asisome ukunga huyo mja mzito atazalishwa na nani, mwanaume!?..iko wapi stara/hijabu hapo!?Wale watu wa dini ya haki ukiwaambia nendeni mkaishi Afghanistan watakupopoa mawe.
Kweli dini unafiki
Tatizo haliko kwako bali kwa waliokuzaa........ulitakiwa ubaki kwenye condom wewe ukajipenyeza nje........mwisho wa siku umezaliwa ngedereKwani mkeo akizalishwa na zalishwa na mwanamke tz? Hospital za kanisa zinamfumo huo?
Hawa jamaa mie nawakubalia sana hawataki ujinga kabisa wa kuendekeza mwanamke. Yaani wanatimiza maandiko vizuri sana. Wanawake ni kuwakandamiza tuu mwanawane ukichela nao they start to play with ur balls.Wanawake wa Afghanistan watakuwa wanaishi maisha ya kubeti sana, kila ukiamka unasubiria lolote kutoka kwa Taliban
Ipo siku watapiga marufuku wanawake kuishi nchini humo wabaki wenyewe tu. Daaaaadeki! Wapi Ritz! Wapi FaizaFoxy! Wapi Webabu! Wapi THE BIG SHOW!!!!Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.
View attachment 3168576
hahahHawa jamaa mie nawakubalia sana hawataki ujinga kabisa wa kuendekeza mwanamke. Yaani wanatimiza maandiko vizuri sana. Wanawake ni kuwakandamiza tuu mwanawane ukichela nao they start to play with ur balls.
Huko kabul kandahar herat jalalabad sidhani kama kuna mwanamke anathubutu kumwambia mumewe "nipige kama wee mwanaume"
Watataka kwenda kuishi germany, uk na france then wakifika huko wanataka wa'apply maupumbav ya Afghanistan na kwingineko.Wale watu wa dini ya haki ukiwaambia nendeni mkaishi Afghanistan watakupopoa mawe.
Kweli dini unafiki
Tz the second 😅Wanawake wa Afghanistan watakuwa wanaishi maisha ya kubeti sana, kila ukiamka unasubiria lolote kutoka kwa Taliban
Hawa makafiri wanaogopa Sana elimuSerikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo zimethibitisha kuwa zimeagizwa zifunge hadi ilani nyingine itakapotolewa.
View attachment 3168576