Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

Katika Dunia ambayo:-
1.Mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni kinyume na dini,ila wanaume kua mashoga ni sawa
2.Kunywa pombe ni sawa,kuvuta bangi sio sawa
Afghan wapo sahihi
 
Ktk fani ambayo wanawake wakiislaam wanatakiwa wasomee ni hiyo kwani wanaozaa ni wanawake na wakuwazalisha ni wanawake, ikiwa habar yako ni ya kweli. Vinginevyo si kweli
 
Hawa jamaa wana mpango gani asee? Si dhani kama dini yao inataka mtindo huo wa maisha wanayoishi. Dini ni kichaka.
 
BBC hutowa taarifa nusu bila kutoa pacha halisi wako hasi na Talban
 
Huruma yao ...........utasikia usinitoe udhu.........sasa hapo umemgusa tu mkono ........huko hospital kwenye kupimwa njia wataguswa mpaka na vizazi.................ila daah hili ni jaribu sana ...........inamaana wanataka dada na mama zao wawachungulie ............ ???
 
Sema Vatican news, nimesoma bbc sijaiona sio ya english au swahili.
 
Kwani mkeo akizalishwa na zalishwa na mwanamke tz? Hospital za kanisa zinamfumo huo?
 
Wale watu wa dini ya haki ukiwaambia nendeni mkaishi Afghanistan watakupopoa mawe.
Kweli dini unafiki
Taliban,ambao ni wahabi na salaffiy,wanna uzushi mwingi sana kwenye dini,kuanzia kuvaa niqab nk,sasa mwanamke asisome ukunga huyo mja mzito atazalishwa na nani, mwanaume!?..iko wapi stara/hijabu hapo!?
 
Kwani mkeo akizalishwa na zalishwa na mwanamke tz? Hospital za kanisa zinamfumo huo?
Tatizo haliko kwako bali kwa waliokuzaa........ulitakiwa ubaki kwenye condom wewe ukajipenyeza nje........mwisho wa siku umezaliwa ngedere
 
Watanzania hata wale wanaofagilia utamaduni wa kiarabu bado hawawezi kukubali huu uwendawazimu. Mambo ya kijinga kama haya hayawezi katu kukubalika katika jimii za kiafrika ni sawa tu na mambo ya ushoga. Bure kabisa.
 
Wanawake wa Afghanistan watakuwa wanaishi maisha ya kubeti sana, kila ukiamka unasubiria lolote kutoka kwa Taliban
Hawa jamaa mie nawakubalia sana hawataki ujinga kabisa wa kuendekeza mwanamke. Yaani wanatimiza maandiko vizuri sana. Wanawake ni kuwakandamiza tuu mwanawane ukichela nao they start to play with ur balls.

Huko kabul kandahar herat jalalabad sidhani kama kuna mwanamke anathubutu kumwambia mumewe "nipige kama wee mwanaume"
 
Ipo siku watapiga marufuku wanawake kuishi nchini humo wabaki wenyewe tu. Daaaaadeki! Wapi Ritz! Wapi FaizaFoxy! Wapi Webabu! Wapi THE BIG SHOW!!!!
 
Inapoelekea utasikia talibani wamezuia na kupiga marufuku wanawake kula.wafe tu
 
hahah
 
Wale watu wa dini ya haki ukiwaambia nendeni mkaishi Afghanistan watakupopoa mawe.
Kweli dini unafiki
Watataka kwenda kuishi germany, uk na france then wakifika huko wanataka wa'apply maupumbav ya Afghanistan na kwingineko.
 
Hawa makafiri wanaogopa Sana elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…