Afisa bank ananiambia namharibia kazi kisa kuchelewesha repayment..is this serious??

Afisa bank ananiambia namharibia kazi kisa kuchelewesha repayment..is this serious??

Katika mihangaiko yetu ya kujikwamua kiuchumi hatimae nimeingia kwenye mikono ya mikopo ambayo kimsingi hali ya uchumi ilivyo haikwepeki..
Bahati nzuri repayments zinafanyika vyema ila mwezi huu kidogo mambo yamekua tyt kiasi kwamba nimedeposit kiasi kidogo cha fedha nje ya maagano yangu na bank na mda umezidi week nzima kabla sijafanikiwa kumaliza repayment nikiwa nategemea kumalizia ndani ya siku hizi mbili..

Maajabu yametokea hapa..

Kwanza akipiga simu kukumbusha rejesho hamna maelewano mazuri..ata ukianza na salamu ya mambo anajibu mabaya [emoji38][emoji38]..
Kisa nini kwan hujui hujamalizia rejesho.hee vitaa..
Juzi akaniambia nifate barua..he kuuliza barua ya nini eti ya kuvunja mkataba akanijibu..lakini I thought wasn’t serious ni ili niwahishe kufanya repayment..
Baada ya kudeposit kiasi cha asilimia 75 kesho yake kanipigia simu “mbona hujamalizia installment.unajua unaniharibia kazi,kwann unapenda kazi yako alaf kazi za wenzako hupendi..
Wenzetu mliokua katika hii field tusaidiane..ivi ni kweli kwamba kudai installment na kuchelewesha kufanyisha installment kunaweza fukuzisha mtu kazi..
Izi treatment katika kudai ndo mnaambiwa mfanye hivi au tabia tu ya mtu..tuwekeni wazi kwa sbb kipindi cha kuomba mtukope mnatubembeleza sana [emoji23][emoji23]

Nawasilisha..
Nimefanya kazi bank 3 tofauti kwa miaka 10. Bank 2 za mwanzo sijawah ona au kusikiwa loan officer akiadhibiwa kwa kuwa na portfolio mbaya, ila kwa bank ya mwisho loan officer walikua wanatimuliwa kwa under performance kwa kuwa na portfolios chafu.
 
Shukrani kwa jibu lako mkuu,lakini nimeongea kwa experience yangu mwenyewe na mikopo,kwa kifupi sidhani kama kuna mfanyabiashara anayependa achelewe kulipa marejesho ila hili sometimes linatokea kwenye biashara, sasa tatizo unakuta anayekusimamia ana kiherehere kama Mke wa balozi anakupigia Simu kama TALA na ikumbukwe kuwa unapochelewa kulipa unalipia na faini sasa unamuelewesha anayekusimamia mkopo ABC lakini anakuwa hataki kukuelewa anaendelea tu kukupa stress,nilichofanya nikampa ban moja matata na mkopo nikamaliza fresh,sasa nilipokuwa nataka kukopa tena akaanza kumjaza maneno meneja wa Bank ili nisipewe mkopo,lkn meneja kuangalia kwenye system wakakuta ni ucheleweshwaji wa kawaida tu,na akaambiwa chuki binafsi usilete kwenye kazi Mzee nikavuta tena mpunga na nikabadilishiwa msimamizi hadi Leo heshima, mdoa mada namshauri ampe tu ban moja matata na aendelee kurejesha marejesho yake kama kawaida

Kibaya ni pale unapompa ban alaf uka stack la mwezi ujao tena [emoji38][emoji38]
 
Nimefanya kazi bank 3 tofauti kwa miaka 10. Bank 2 za mwanzo sijawah ona au kusikiwa loan officer akiadhibiwa kwa kuwa na portfolio mbaya, ila kwa bank ya mwisho loan officer walikua wanatimuliwa kwa under performance kwa kuwa na portfolios chafu.

Duh hatari
 
Back
Top Bottom