sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
AiseeeKuna nyuzi kadhaa humu,
Marehemu amewahi kulalamikiwa Sana na watumishi wake humu ndani.
Huenda walamikaji wameamua tu kumpandisha cheo akawe kiongozi MWENDAZAKE kule majuu.
R .I.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeKuna nyuzi kadhaa humu,
Marehemu amewahi kulalamikiwa Sana na watumishi wake humu ndani.
Huenda walamikaji wameamua tu kumpandisha cheo akawe kiongozi MWENDAZAKE kule majuu.
R .I.p
RiP kama ni kweli
kwanin sasaAfisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde.
Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde.
Sijui lini matatizo yako yataisha. Maana kila kifo unadhani ni Corona. Ingefaa uiugue ili uifaidi
Mtu kafariki na Causes of death zipo nyingi ila lihuni fulani linaconclude.Korona itajwapo inakuchonyota eeeh ngosha
Mtu kafariki na Causes of death zipo nyingi ila lihuni fulani linaconclude.
Duh Poleni sana wanduguHivi nimetoka msibani rafiki yangu kaugua kichwa saa 5 asubuhi apumzike kwenye kiti baada ya kumeza panadol kazima jumla.Mumewe anasema kafa SAA 6 kasoro.Kweli we are nothing in this world.Ubatili mtupu
Asante sanaDuh Poleni sana wandugu
Taarifa zipi zaidi ya hizi ulizoleta mkuu!! [emoji848]Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde.