Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Mkuu

Pole KWA majukumu

Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!

Kuna kasoro nyingi kama hizi;-

1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA wakati na ililazimika wakuu wa shule wakisubiri kwenye Bus kutoka Mwanza Hadi Tabora Mjini tena walisubiri Hadi usiku KWA baadhi ya mitihani Hadi kupelekea mingine kuahirishwa kufanyika siku husika kutokana na kuchelewa kufika KWA wakati!!wenye hekima wanajiuliza kwanini Mwanza kwani Tabora hakuna stionary zenye viwango Hadi ichaposhwe Mwanza!!?

2.Mitihani mingi kuwa typing errors nyingi ni kana kwamba mchapaji hakupata muda wa kutosha wa kuhariri mitihani kilichopelekea makosa mengi ya uchapaji!!

3.Maelekezo ya waandaaji practicals ya masaa matatu kabla kutumwa KWA wakuu wa shule KWA whatsapp badala ya hard copy kama utaratibu ulivyo yaani Maafisa walipiga picha karatasi ya maelekezo na kumtumia mkuu wa shule halafu akapewa muandaaji !!hicho ni kinyume na utaratibu wa mitihani kisheria na taratibu za mitihani!huo ni uhuni kama uhuni mwingine!

3.Gharama za kulipia uandaaji mitihani kuwa kubwa kuliko fedha zinazoingizwa na serikali mashuleni!kiasi kwamba Shule zinajikuta kwenye madeni makubwa KWA kushindwa kujiendesha KWA kununua vifaa vya kufundishia!!

KWA mfano Form four analipwa 10000/= na form two 8000/= sasa vuta picha form four zaidi ya 100dl darasa na form two 150 zidisha KWA kiwango cha fedha utakuta ni mamilioni shule unatakiwa kulipa Sasa fedha za capitation ni kama milion nne au tatu KWA Mwezi shule itajiendeshaje!!?

Pia Fedha za umiseta ni nyingi mno zinazolipwa ukilinganisha na idadi ya wanafunzi wanaoshiriki ki wilaya au kimkoa!shule zinakosa fedha za kujiendesha!!

Nasikia kwenye halmashauri Maafisa hawataki kusaini cheque za matumizi ya shule Hadi cheque za umiseta na mitihani zisainiwe kwanza!wakuu wasipopeleka cheque hizo kwqnza hawasainiwi cheque zao za matumizi ya shuleni kama manunuzi ya chaki na shajara!!

Fedha za elimu Bure ni kichaka cha Maafisa elimu kujipigia na kulamba asali kama mnavofanya Sasa!!

Uzembe kama huo unaofanyika ndio unavofanya elimu yetu isiwe na tija nchini!

Nimeandika usome ujue mnayoyafanya serikali inaona na sio sawa KWA mstakabali wa ustawi wa Elimu yetu nchini!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
 
Hiyo direct translation yako inakudhalilisha,hakunaga mtihani wa dhihaka bali utamilifu.
 
Write your reply... ndio maana wanasema walimu ni masikin, pesa ya mtihan wew nafsi inakutoka kwel, mbona wabunge wanatulia nyoka wa makengeza alivyofanya yake na akaita vijenti tu. so na wew tulia muombe ya mrija na wew unyonye.
 
Write your reply... ndio maana wanasema walimu ni masikin, pesa ya mtihan wew nafsi inakutoka kwel, mbona wabunge wanatulia nyoka wa makengeza alivyofanya yake na akaita vijenti tu. so na wew tulia muombe ya mrija na wew unyonye.
MKUU

Jadili mada sio utashi wa mwandishi!

Una uhakika unachokifanya Sasa hivi mtaji unazidi mtaji wangu KWA kiasi gani!!?

Jadili mada!usijadili Mali au Hali ya kiuchumi ya mleta mada!!

Hili Ndio Tatizo la watanzania tuliowengi!!

Hasara ya Taifa hili kupata wasomi feki wasiokidhi viwango kutokana na uhuni kama huo ni janga kubwa Sana kuliko hata UTAJIRI na fedha ulizo nazo!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Kaponda kwenye ubora eake alikuwa Songwe paka huyu akaleta shida kubwa
Kumbe ni reject la songwe sio!!?

Basi atapiga Sana coz WAKUU wa shule WENGI HUKO Tabora ni makondoo!!

Wanapenda kujipendekeza KWA WAKUBWA!watalipa gharama za kuendesha Shule wao wenyewe!!
 
Kila mtu atakula kulingana na cheo chake.

Ushauri tafuta cheo kulalamika haibadili lolote.
 
Back
Top Bottom