yanabadilikaYeah, uko sawa kabisa! Amepandisha madaraja walimu tangu mwezi wa 9 mpaka leo watu hawajapokea mshahara waliorekebishiwa! Hii wilaya nadhani nimekuja kimakosa!
Unadanganya... au umechanganya Mada. DEO wa Msingi anayezungumzwa hapa ni Bi. Mayassa Hashim. Hakuna DEO mwenye Diploma sasa hivi sifa ni lazima uwe na degree ya kwanza na uzoefu wa miaka kadhaa (Mingi). Namfahamu sana Mama Ngonyani ana huruma sana ila tu ana jazba fulani na hasira za haraka lakini ni mtu mzuri sana ukimjulia giraffe. Cheo cha DEO ni Mkuu wa Idara so huwezi kuwa na diploma halafu ukashiak nafasi hiyoAnaitwa mama Ngonyani ana diploma ya ualimu aliwai kufundisha zanaki girls miaka ya 80 hadi 98.tatizo alilonalo anachukia sana walimu wenye degree anapenda sana ligi
Jamani huyu mama, ndio amehamishiwa wilaya ya mkuranga kikazi kuwa afisa elimu. Yeah, amekuja na mikakati yake kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu wilaya ya mkuranga!
Lakini atambue kuna changamoto kadhaa zinazoikabili wilaya hii kwa upande wa wafanyakazi wa wilaya hii:-
1.Mazingira magumu ya kufanya kazi.
2.Idadi ndogo ya walimu kwny shule.
3.Ukosefu wa vifaa vya kujifunzia/kufundishia.
4.Nyumba za walimu.
5.Madai ya walimu
.
.
.
Kama, wewe unajua changamoto nyingine jaribu kufunguka!
Mkuu kumbe kuna wakati unatoa pointi eehhh? zomba!! Hili la utoro wa Walimu ni tatizo sana.. halafu wanaishia kulalamika tu kwamba serikali haiwajali6, Utoro wa walimu.
Mkuu kumbe kuna wakati unatoa pointi eehhh? zomba!! Hili la utoro wa Walimu ni tatizo sana.. halafu wanaishia kulalamika tu kwamba serikali haiwajali
Hiyo sio Justification ya utoro...kwanini wasiache kabisa kazi?@ChatumkaliMkuu serikali haiwajali ndio maana wanaamua kuwa watoro!