Aikasa
Member
- Apr 11, 2012
- 37
- 9
Jamani huyu mama, ndio amehamishiwa wilaya ya mkuranga kikazi kuwa afisa elimu. Yeah, amekuja na mikakati yake kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu wilaya ya mkuranga!
Lakini atambue kuna changamoto kadhaa zinazoikabili wilaya hii kwa upande wa wafanyakazi wa wilaya hii:-
1.Mazingira magumu ya kufanya kazi.
2.Idadi ndogo ya walimu kwny shule.
3.Ukosefu wa vifaa vya kujifunzia/kufundishia.
4.Nyumba za walimu.
5.Madai ya walimu
.
.
.
Kama, wewe unajua changamoto nyingine jaribu kufunguka!