Ndugu wana Jamiiforums.
Huyu bwana ni mkurupukaji kwenye maamuzi, na anajihusisha na RUSHWA YA NGONO KWA WALIMU WA KIKE. Ninaadika hapa kumuonya kwani walimu wengi wanalalamika juu yake. Bwana Kondo tenda haki na uangalie mwenendo wako kwani mahusiano mema ni bora kuliko pesa zako. Nakushauri ujirekebishe.