sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Wewe mwenye akili utaweza vipi kumuwajibisha mtu (wa serikali) kwa majukumu yasiyo kwenye job description yake?huna akili, akiharibu kazi unamwajibisha vipi mtu asiye wa serikali???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye akili utaweza vipi kumuwajibisha mtu (wa serikali) kwa majukumu yasiyo kwenye job description yake?huna akili, akiharibu kazi unamwajibisha vipi mtu asiye wa serikali???
HapanaNyie mna bifu zenu tu za kuchukuliana malaya.
Walking deadbaada ya kushindwa kumroga sasa mnahamia JF
Kwani sensaa mafunzo yameanza@wee jamaa umeandikaa nni..htaa Kama Kuna ishu Kama izo nyooshaa maelezo..mama samamba ndo Nani sasaHuyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora.
Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora.
Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko wenyewe wa mikoa hiyo. Ila huku tumebaki na jamaa mmoja ambae anajiita kisiki cha mpingo afisa elimu yaaaani yeye ni full ubabe.
Anahamisha wafanyakazi kutoka kituo kimoja kwenda kingine bila kuwalipa stahiki zao. Pia amekuwa akikakataaa kusaini barua za waalimu wanaohitaji kubadilishana vituo, kwa mfano kuna baadhi ya waalimu amekataaa kuwasainia barua zao ingawa wamepata nafasi ya kubadilishana.
Amkekuwa na ukiritimba wa kupitiliza na ubabe kwa anaowaongoza. Pia amekuwa na upendeleo wa wazi kwa watu wanaotoka mikoa ya Njombe na Iringa kwa kuwafavor kwenye kila kitu pamoja nafursa zote yeye ni watu wa mikoa hiyo.
Pia takukuru wafatilie kuna rushwa ya ngono inayoendelea kwenye ofisi kutoka na majina anayopendekeza katika teuzi zake.
Mwisho nimehudhuria semina ya mafunzo ya sensa, mama Semamba amejitahidi kusisitiza juu ya watu kuwa na uadilifu na kutopedelea ndugu zao.
Lakini yeye utashaanga yeye atawajaza ndugu zake mwanzo mwisho wa mikoa tajwa juu hapo. Takukuru fuatilieni haya mambo yakiachwa matunda yake mnayajua