Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

huna akili, akiharibu kazi unamwajibisha vipi mtu asiye wa serikali???
Wewe mwenye akili utaweza vipi kumuwajibisha mtu (wa serikali) kwa majukumu yasiyo kwenye job description yake?
 
Nyie mna bifu zenu tu za kuchukuliana malaya.
 
Maafisa elimu wengi wana elimu za kuungaunga ndio maana hawajiamini.Sekta ya Elimu Tanzania inaongozwa na watu wasio na uwezo iwe wa darasani au wa kiuongozi
 
Walimu mnapenda kulalamika sana ila kiuhalisia wengi wenu mko under performance na kichwani content ni za kuunga unga.
 
Kwani sensaa mafunzo yameanza@wee jamaa umeandikaa nni..htaa Kama Kuna ishu Kama izo nyooshaa maelezo..mama samamba ndo Nani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…