Afisa Elimu, Wilaya ya Mbinga, alistahili kufukuzwa kazi na sio kupewa Demotion


Huyo DEO alichokifanya ni jinai ikithbitika.Sema kilichotokea wenda hapakuwa na ushahidi wa kutosheleza kumtia kwenye hatia ya wizi na dhuruma.
 
Hilo ni kosa la kimaadili na hiyo ni adhabu sitahiki mkuu kwa kuwa kuna watu wengine walishiriki kutenda kosa hata kama kisingizio kwamba walitishiwa maisha na ajira yao wasipotoa hela.

Ingekuwa kazichota mwenyewe hapo sawa
 

Ni sawa kabisa mkuu. Pia kuhusu hii kesi naifahamu bado ipo mahakaman na baraza la madiwani muda wowote itatolewa maamuz na sambamba na hilo bado ana adhabu nyingi kutohudhuria any confidential issue concerning the progression so nafikir serikal ipo pazur kwa sakata hili la Mbinga ps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…