Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria afungiwa miezi mitatu na kutozwa faini ya Laki Tano kwa kushtumu waamuzi

Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria afungiwa miezi mitatu na kutozwa faini ya Laki Tano kwa kushtumu waamuzi

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Afisa Habari wa Klabu ya Azam FC, Thabit Zakaria maarufu kama ZakaZakazi, amefungiwa kwa kipindi cha miezi mitatu (3) na kutozwa faini ya shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la kushutumu Waamuzi wa mchezo kati ya Tanzania Prisons na Azam FC, kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, mchezo ambao ulitamatika kwa Azam FC kukubali kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
20221005_180803.jpg
20221005_180807.jpg
 
Nasisitiza pale KICHEFUCHEFU ni Genge la Wahuni wamejificha kwenye kuongoza Soka la Bongo.

BMT kazi yao ni nini?

Wanashindwa kuvisimamia vyama vya michezo, Waziri wa hiyo Wizara naye yuko kimya.
 
Nasisitiza pale KICHEFUCHEFU ni Genge la Wahuni wamejificha kwenye kuongoza Soka la Bongo.

BMT kazi yao ni nini?

Wanashindwa kuvisimamia vyama vya michezo, Waziri wa hiyo Wizara naye yuko kimya.
💯
 
Inaonekana mnaolalamika hamfatilii mpira Mjue kutofautisha TFF na TPLB ndio mje mropoke sio kumtusi karia na hajahusika chochote[emoji3][emoji3] bongo bhn
TPLB iko chin ya tff Tu na maamuz Yao meng yanatoka juu huko tff TPLB pale wapo Tu kama garasa na Sion mamlaka yoyote waliyonayo

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom