Mdaka mishale si yule DIARRA..! Imekuwaje tena mbona nje ya mada kwa hapa..!MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
💯Nasisitiza pale KICHEFUCHEFU ni Genge la Wahuni wamejificha kwenye kuongoza Soka la Bongo.
BMT kazi yao ni nini?
Wanashindwa kuvisimamia vyama vya michezo, Waziri wa hiyo Wizara naye yuko kimya.
TPLB iko chin ya tff Tu na maamuz Yao meng yanatoka juu huko tff TPLB pale wapo Tu kama garasa na Sion mamlaka yoyote waliyonayoInaonekana mnaolalamika hamfatilii mpira Mjue kutofautisha TFF na TPLB ndio mje mropoke sio kumtusi karia na hajahusika chochote[emoji3][emoji3] bongo bhn
Huna akili.MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jiulize TPBL ipo chini ya nani? Ukipata jibu njooInaonekana mnaolalamika hamfatilii mpira Mjue kutofautisha TFF na TPLB ndio mje mropoke sio kumtusi karia na hajahusika chochote😀😀 bongo bhn