Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria afungiwa miezi mitatu na kutozwa faini ya Laki Tano kwa kushtumu waamuzi

Hivi hizi hela wanazotoza faini huwa wanazipeleka kwenye mfuko gani? Maana kuna watu wanaambiwa walipe mpaka faini ya milioni 20!!

Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
 
Hawa jamaa wa mpira wawe makini sana na kauli wanazotoa baada ya mechi, hata Uingereza huwa naona makocha wakiwasema vibaya waamuzi hata kama walikosea kweli huwa wanapigwa nyundo, tatizo la hapa kwetu ni aina ya adhabu zinazotolewa, kumfungia mtu miezi mitatu na faini juu ni sawa na ashabu mbili kwa kosa moja.
 
Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
Wanazilipa, sema tu huwa hawakuambii. Hata msemaji wenu amepewa siku 30 tangu aliposhindwa rufaa yake awe amezilipa, wala si kwamba asubiri miaka miwili ya kukaa kimya. Na atazilipa kabla ya siku 30 ila hatakuambia wewe (maana hata hakufahamu)
 
Zaka amefungiwa kwa kusema ukweli, lakini hakuchagua wapi pa kusema yaani..!
Kama timu imeshaandika barua kulalamikia jambo fulani, kuna haja ya msemaji kuongea tena kwa jambo hilo hilo? Tatizo hatupendi kuangalia kanuni. Kanuni hizi zimetungwa na Timu zenyewe, yaani Vilabu vinavyoshiriki ligi, wala si Karia
 
Wanazilipa, sema tu huwa hawakuambii. Hata msemaji wenu amepewa siku 30 tangu aliposhindwa rufaa yake awe amezilipa, wala si kwamba asubiri miaka miwili ya kukaa kimya. Na atazilipa kabla ya siku 30 ila hatakuambia wewe (maana hata hakufahamu)
Amepunguziwa Ni milion 10 sas hv

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hizi hela wanazotoza faini huwa wanazipeleka kwenye mfuko gani? Maana kuna watu wanaambiwa walipe mpaka faini ya milioni 20!!

Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
Mkuu utatoa tu manara amepunguziwa adhbu sas itabidi amlipe msomali na genge lake milion 10

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amepunguziwa Ni milion 10 sas hv
Na atazilipa tena hata kabla ya siku 20 tangu hukumu kukaziwa na kamati ya rufaa. Aliwahi kupigwa faini ya sh. 5M akazilipa, maana kuongelea mpira ndio kazi yake
 
Yaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Nasubiria siku singida big [emoji93] wapigwe faini za kijinga uone jins mwigulu atakavyomshughlikia karia and his company kwa kimkakati mahusuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
TPLB iko chin ya tff Tu na maamuz Yao meng yanatoka juu huko tff TPLB pale wapo Tu kama garasa na Sion mamlaka yoyote waliyonayo

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Nikupe mfano rahisi

Kipindi upo shule kuna taasisi mbili mwalimu mkuu na mwalimu wa kawaida
Kiongozi mkuu wa shule n mwalimu mkuu lakini ilikua ukifanya kosa darasani unaadhibiwa na mwalimu Je adhabu za kuchapwa fimbo mwalimu alikua anaambiwa na mwalimu mkuu uchapwe fimbo nyingi !!?

hvyo hvyo TTF na TPLB kila mtu ana mamlaka yake TPLB Wapo kwaajili ya kuhakikisha kanuni zote za ligi znafatiliwa
 
Nasubiria siku singida big [emoji93] wapigwe faini za kijinga uone jins mwigulu atakavyomshughlikia karia and his company kwa kimkakati mahusuzi
Yaani Mwigulu ndio amshughulikie Karia? 🤣 🤣 🤣
Huijui nchi hii nadhani. Watu wengi wasiokijua ni kwamba inayotoa adhabu ni Bodi ya Ligi ambayo wajumbe wake ni viongozi wa kutoka katika vilabu vyote vya ligi kuu. Kwa maana nyingine, wakati Manara anapewa adhabu, mmoja wa watu walioipitisha adhabu hiyo ni mjumbe kutoka Yanga. Na hata hii wakati Zaka Zakazi anapewa adhabu hii, mmoja wa watu walioipitisha adhabu hiyo ni mjumbe kutoka Azam. TFF inapelekewa taarifa tu
 
Yaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Wahuni wanatafuta pesa ya kumwagilia moyo na kulipana pesa za vikao wanavyokaa!
 
MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa sasa aitwe tu MCHOMWA MISHALE
 
Yaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Kumbuka kuwa mdhamini wa kurusha matangazi ya mpira (AZAM TV) anaenda na muda. Sekunde 90 ni nyingi sana. Kama huamini nakukumbusha kuwa Vipers walimfunga Utopolo goli kabla sekunde 30 hazijatimia.
 
Huyo kesho Mungu akipenda tunamtaka akae golini
MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…