Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazilipa, sema tu huwa hawakuambii. Hata msemaji wenu amepewa siku 30 tangu aliposhindwa rufaa yake awe amezilipa, wala si kwamba asubiri miaka miwili ya kukaa kimya. Na atazilipa kabla ya siku 30 ila hatakuambia wewe (maana hata hakufahamu)Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
Kama timu imeshaandika barua kulalamikia jambo fulani, kuna haja ya msemaji kuongea tena kwa jambo hilo hilo? Tatizo hatupendi kuangalia kanuni. Kanuni hizi zimetungwa na Timu zenyewe, yaani Vilabu vinavyoshiriki ligi, wala si KariaZaka amefungiwa kwa kusema ukweli, lakini hakuchagua wapi pa kusema yaani..!
Amepunguziwa Ni milion 10 sas hvWanazilipa, sema tu huwa hawakuambii. Hata msemaji wenu amepewa siku 30 tangu aliposhindwa rufaa yake awe amezilipa, wala si kwamba asubiri miaka miwili ya kukaa kimya. Na atazilipa kabla ya siku 30 ila hatakuambia wewe (maana hata hakufahamu)
Mkuu utatoa tu manara amepunguziwa adhbu sas itabidi amlipe msomali na genge lake milion 10Hivi hizi hela wanazotoza faini huwa wanazipeleka kwenye mfuko gani? Maana kuna watu wanaambiwa walipe mpaka faini ya milioni 20!!
Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
Na atazilipa tena hata kabla ya siku 20 tangu hukumu kukaziwa na kamati ya rufaa. Aliwahi kupigwa faini ya sh. 5M akazilipa, maana kuongelea mpira ndio kazi yakeAmepunguziwa Ni milion 10 sas hv
Nasubiria siku singida big [emoji93] wapigwe faini za kijinga uone jins mwigulu atakavyomshughlikia karia and his company kwa kimkakati mahusuziYaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Nikupe mfano rahisiTPLB iko chin ya tff Tu na maamuz Yao meng yanatoka juu huko tff TPLB pale wapo Tu kama garasa na Sion mamlaka yoyote waliyonayo
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Yaani Mwigulu ndio amshughulikie Karia? 🤣 🤣 🤣Nasubiria siku singida big [emoji93] wapigwe faini za kijinga uone jins mwigulu atakavyomshughlikia karia and his company kwa kimkakati mahusuzi
Ukumbuke na Rais wa Utopolo ni Msomali piaHivi hizi hela wanazotoza faini huwa wanazipeleka kwenye mfuko gani? Maana kuna watu wanaambiwa walipe mpaka faini ya milioni 20!!
Yaani kirahisi tu nimpe Msomali na genge lake milioni 20!!
Wahuni wanatafuta pesa ya kumwagilia moyo na kulipana pesa za vikao wanavyokaa!Yaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Kwa sasa aitwe tu MCHOMWA MISHALEMDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kumbuka kuwa mdhamini wa kurusha matangazi ya mpira (AZAM TV) anaenda na muda. Sekunde 90 ni nyingi sana. Kama huamini nakukumbusha kuwa Vipers walimfunga Utopolo goli kabla sekunde 30 hazijatimia.Yaani Dodoma Jiji FC wamepigwa faini ya 500,000 kwa kuchelewa kutoka kwenye vyumba kwa dakika moja (1) na sekunde 30...!!
Mo atuachie timu yetuMDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
MDAKA MISHALE KILA MECHI ANASHONWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Km ulivyo ww ana your familyHuna akili.