Pre GE2025 Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe alizuia mpango wa kuanzishwa kwa CHADEMA TV kwa maelezo kwamba TBC wanatuunga mkono kwa sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alikuwa sahihi mungetuletea porojo tu, (kelele), na kuwakaribisha wasiojulikana kwenye hiyo chadema tv, Mbowe kuna vingi, (mengi), kafanya vizuri, ila kwenye hili la uwenyekiti wa kudumu kapotea

Hoja yake nikwamba kaipambambania sana chadema, je haelewi maana ya mlezi?, ama,
anataka imfie mikononi mwake hata kama uwezo wake umefikia kikomo
 
Kiukweli nimefarijika kusikia kumbe Chadema ilitaka kuwa na media yake, ushauri kama huu niliwapa hapa CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Nilisema
Nikashauri tena hapa Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema
Merry Chritmas
P
 
Ndo maana tunasema mbowe bila kukaa pembeni hakuna mabadiliko ya kweli pale chadema, Machawa wa mwenyekiti ndo wanachelewesha mabadiliko
 
Mbowe tuliyemuamini kuwa ana viwango vya ujemedari kumbe ni laana kiwango hiki?

Wanaomtetea wote ni wahusika na wanufaika wa madudu anayoyafanya kusaliti Watanzania
 
Mbowe ni mlaghai
 
MBOWE hawezi kukubali hilo kwasababu CHADEMA TV itakuwa na Contents nyingi ambazo zitabana viongozi wa CCM na MBOWE ni MwanaCCM pia...zaidi anaogopa atakosa ruzuku
 
Pumbavu, acheni unafiki ,ulikua wapi kuyazungumzia haya?
 
Mbowe ni mtu anaye tanguliza maslahi yake kwanza. Kwenye pesa humwambii kitu.

Mbowe Ni hatari, nyoka mwenye vichwa viwili, joka la mdimu, joka lenye makengeza, ktk usaliti na ufisadi huu Mbowe na Msigwa Ni chanda na Pete na sio mwisho hapo Bali Mbowe ana katawi ka CDM anakokaongoza kwa Siri Sana lakini Mungu si Athumani Tundu Lissu ametufumbua macho na masikio kilichobaki Ni sisi wajumbe kumwelekeza kibra bila soni
 
Wajumbe popote walipo iwafikie iwapo mnatuletea mbowe kwa masirahi yenu mjue mtaleta maafa tutabomoa majengo yote ya chadema tuanze upya.
 
Tunasubiri hiyo January ibaki story kuhusu CHADEMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…