🤣🤣🤣Meku hamlambi kitu na tupo uchagani saiv tunapanga safu vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Meku hamlambi kitu na tupo uchagani saiv tunapanga safu vizuri
Alikuwa sahihi mungetuletea porojo tu, (kelele), na kuwakaribisha wasiojulikana kwenye hiyo chadema tv, Mbowe kuna vingi, (mengi), kafanya vizuri, ila kwenye hili la uwenyekiti wa kudumu kapoteaView attachment 3182406
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti Mwanzilishi ni Mimi na TBC inatuunga mkono,
Swali, Kwani hii Project ilikuwa mali yangu binafsi, kwanini Mbowe aliwakatili wanachama na viongozi. Fedha ngapi tungeingiza. Kumbuka kwa Mwezi milioni 340 Malipo Chama kinapata.
Kila Jimbo lingepata fedha , tungeuza vingamzi na dish, tungepata mafundi wa dish, tungepata mawakala. Haya yote wakakataa.
Watu tunaumiza vichwa kutafuta solution ili Chama kivuke , wengine wanazuia kwa sababu wanazozijua wao hasa umamluki kwani Mbowe hajawahi kutaka CHADEMA ishike Dola.
Wajumbe, tunamuhitaji Lissu tunajua Chama kina shida gani. Tunawategemea kurudisha Chama kwa wanachama.
Project hii Chama hakikuwa na gharama yoyote, kitu kepee mwekezaji alitaka ni kupata uhakika kuwa wapo watu 100,000 wenye uwezo wa kununua Kingamzi cha Zuku na Dish lake. Mimi niliwahakikishia hilo na zaidi nikasema tutawapata watu wengi sana.
Ni muda wa kuonyeaha utayari kukisaidia Chama , kusafisha uozo wote!
Makatibu wa Kanda wote wanajua hii Project, na vifaa tulifunga ilibaki kuleta vingamzi tu. Mtu akazuia kumbe Kuna TBC,
Lini CHADEMA imekuwa rafiki wa TBC mpigakura shituka haraka
Remigius,
Afisa wa Chama Makao makuu
Kiukweli nimefarijika kusikia kumbe Chadema ilitaka kuwa na media yake, ushauri kama huu niliwapa hapa CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti Mwanzilishi ni Mimi na TBC inatuunga mkono,
Lini CHADEMA imekuwa rafiki wa TBC mpigakura shituka haraka
Remigius,
Afisa wa Chama Makao makuu
Nikashauri tena hapa Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...Wanabodi,
Kwa upande wa Chadema, lazima kibadilike, first and foremost, anzeni na Mwenyekiti wenu Freeman Mbowe, he should go!. uenyekiti, ampishe more able person kama Dr. Slaa kwenye usukani wa chama, Katibu Mkuu mpeni Zitto strategically, hii itaifuta ile dhana ya udini na nepotisim kwenye chama chenu, na kulivua lile koti la udini, ukanda na ukabila ili walioichoka CCM wawafungulie mikono kwa kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura 2015 kwa kujionyesha Chadema ni chama cha wote, dini zote na kanda zote.
Kupumzishwa kwa Freeman Mbowe sio kuwa hafai no, anafaa sana lakini kwa background yake na nature ya kazi zake, as a businessman, hapo alipoifikisha Chadema amaishafanya kazi kubwa na kufikia mwisho wa uwezo wake. Kwa background yake ya a former DJ na sasa ni mfanyabiashara, focus ya wafanyabiashara kote dunia nzima ni maximisation of profits, hivyo Mbowe atahitaji ruzuku ya Chadema itumike kuivest kwenye assets, kwenye vitu vya kuonekanika yaani assets kama magari, mavazi, etc
Ili Chadema kiweze kushika nchi 2015, it has to invest on people na sio ku invest kwenye vitu. Chadema must invest kwenye mass mobilisation strategies na sio kutegemea mikutano ya hadhara na maandamano pekee. Chadema needs to have able people kuiwezesha kushika dola five years to come kwa kutumia reaching out mechanism kuwafikia the mases kwa kumiliki media yake yenyewe. Chadema lazima ifanye recruitment ya loyal able people, watakaokuja kuendesha serikali ya Chadema. Mbowe hawezi kukubali ruzuku ya Chadema itumike to invest on people, kwasabu it's a loss making venture kwa mfanyabiashara na kuivest kwenye mass media sio profitable investment kwa business man ambaye ni in for profits making!. Dr.Slaa na Zitto sio wafanyabiashara hawa ni ma technocrats. Chama kishikwe na wanasiasa watendaji ma technocrats na sio wanasiasa wafanyabiashara!. Chadema iwekeze kwenye watu na kupanua mtandao wake hadi vijijini, ili kwenda kuiongoa CCM kuanzia kule chini kabisa kwenye mizizi yake ambako ni kule kwenye mashina. Chadema imiliki media yake yenyeshe for mass mobilization na sio kutegemea mikutano na maandamano, huko ni kuendeleza uanaharakati, Chadema inatakiwa kukaa mkao wa kutawala, ikitangaza kitu, kinafika Tanzania nzima!
Paskali
Merry ChritmasWanabodi,
The magic ni uhamasishaji na reaching out kuwafikia!.
17. Sasa ili kuwafikia Watanzania wote -haswa hawa grassroots level na kuwaamsha waliolala, Chadema haiwezi kuwafikia Watanzania wote kwa kutegemea maandamano na mikutano ya hadhara na mass media za wengine. Chadema lazima wawe na mass media yake ambayo ita propagate the message of "changing the mindset" ya Watanzania. Chadema wana all the resource kumiliki media yake lakini very unfortunately they are myopic, hawana vision ya kuona mbali kuangalia nje ya box and see a bigger picture. Hawajui kupanga priorities zao. Bei ya gari moja tuu la M4C linatosha kununua transmitter ya Digital ya redio na TV and convert chumba kimoja pale Ufipa into a modern studio! na kuwa na YouTube Channel yake ya live stream na active interactive social media pages, Chadema bila media yake, ni kutwanga maji kwenye kinu! CCM ina media yake na TV yake ya TBCCM, radio zake na magazeti yake, Chadema bila media yake, ikulu wataendelea kuisikia tuu kwenye bomba, 2015 ni CCM tena! .
Wasalaam.
Paskali
Kwa hili afadhali hata Lipumba ana afadhali.Mbowe kumbe hana tofauti na akina Lipumba
Ndo maana tunasema mbowe bila kukaa pembeni hakuna mabadiliko ya kweli pale chadema, Machawa wa mwenyekiti ndo wanachelewesha mabadilikoView attachment 3182406
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti Mwanzilishi ni Mimi na TBC inatuunga mkono,
Swali, Kwani hii Project ilikuwa mali yangu binafsi, kwanini Mbowe aliwakatili wanachama na viongozi. Fedha ngapi tungeingiza. Kumbuka kwa Mwezi milioni 340 Malipo Chama kinapata.
Kila Jimbo lingepata fedha , tungeuza vingamzi na dish, tungepata mafundi wa dish, tungepata mawakala. Haya yote wakakataa.
Watu tunaumiza vichwa kutafuta solution ili Chama kivuke , wengine wanazuia kwa sababu wanazozijua wao hasa umamluki kwani Mbowe hajawahi kutaka CHADEMA ishike Dola.
Wajumbe, tunamuhitaji Lissu tunajua Chama kina shida gani. Tunawategemea kurudisha Chama kwa wanachama.
Project hii Chama hakikuwa na gharama yoyote, kitu kepee mwekezaji alitaka ni kupata uhakika kuwa wapo watu 100,000 wenye uwezo wa kununua Kingamzi cha Zuku na Dish lake. Mimi niliwahakikishia hilo na zaidi nikasema tutawapata watu wengi sana.
Ni muda wa kuonyeaha utayari kukisaidia Chama , kusafisha uozo wote!
Makatibu wa Kanda wote wanajua hii Project, na vifaa tulifunga ilibaki kuleta vingamzi tu. Mtu akazuia kumbe Kuna TBC,
Lini CHADEMA imekuwa rafiki wa TBC mpigakura shituka haraka
Remigius,
Afisa wa Chama Makao makuu
Mbowe tuliyemuamini kuwa ana viwango vya ujemedari kumbe ni laana kiwango hiki?View attachment 3182406

Mbowe ni mlaghaiView attachment 3182406

Pumbavu, acheni unafiki ,ulikua wapi kuyazungumzia haya?View attachment 3182406

Mbowe ni mtu anaye tanguliza maslahi yake kwanza. Kwenye pesa humwambii kitu.
MBOWE hawezi kukubali hilo kwasababu CHADEMA TV itakuwa na Contents nyingi ambazo zitabana viongozi wa CCM na MBOWE ni MwanaCCM pia...zaidi anaogopa atakosa ruzuku
Swali je anapozwa kwa maneno matupu?Uko sahihi... harakati zake nyingi ni za kuhitaji kupozwa na CCM.. basi anatulia...
Tunasubiri hiyo January ibaki story kuhusu CHADEMA!View attachment 3182406
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti Mwanzilishi ni Mimi na TBC inatuunga mkono,
Swali, Kwani hii Project ilikuwa mali yangu binafsi, kwanini Mbowe aliwakatili wanachama na viongozi. Fedha ngapi tungeingiza. Kumbuka kwa Mwezi milioni 340 Malipo Chama kinapata.
Kila Jimbo lingepata fedha , tungeuza vingamzi na dish, tungepata mafundi wa dish, tungepata mawakala. Haya yote wakakataa.
Watu tunaumiza vichwa kutafuta solution ili Chama kivuke , wengine wanazuia kwa sababu wanazozijua wao hasa umamluki kwani Mbowe hajawahi kutaka CHADEMA ishike Dola.
Wajumbe, tunamuhitaji Lissu tunajua Chama kina shida gani. Tunawategemea kurudisha Chama kwa wanachama.
Project hii Chama hakikuwa na gharama yoyote, kitu kepee mwekezaji alitaka ni kupata uhakika kuwa wapo watu 100,000 wenye uwezo wa kununua Kingamzi cha Zuku na Dish lake. Mimi niliwahakikishia hilo na zaidi nikasema tutawapata watu wengi sana.
Ni muda wa kuonyeaha utayari kukisaidia Chama , kusafisha uozo wote!
Makatibu wa Kanda wote wanajua hii Project, na vifaa tulifunga ilibaki kuleta vingamzi tu. Mtu akazuia kumbe Kuna TBC,
Lini CHADEMA imekuwa rafiki wa TBC mpigakura shituka haraka
Remigius,
Afisa wa Chama Makao makuu
Mtoto wa mjini katumwa pesa🤣🤣🤣🤣Ila Mbowe kweli ni Mzee wa Mipango na haachi mia
AjitafakariKwa hili afadhali hata Lipumba ana afadhali.
Thubutu...EL aligombea urais CDM kwa maneno matupu? Pale mimi ndio nilijua Mbowe ni mhuni.Swali je anapozwa kwa maneno matupu?