Afisa mikopo saut unatutesa first year

Afisa mikopo saut unatutesa first year

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
647
Reaction score
72
tangu tufike sa hizi ni mwezi hatujapata kitu sa hii ni haki kweli?! Mwaka wa 2 na 3 wamekaribia kumaliza boom lao... Tupeni chetu basi mnatuasili kisaikolojia
 
tangu tufike sa hizi ni mwezi hatujapata kitu sa hii ni haki kweli?! Mwaka wa 2 na 3 wamekaribia kumaliza boo lao... Tupeni chetu basi mnatuasili kisaikolojia
mod kijana ametukana tasavali ooophhss !!! tafadhali sheria ichukue mkondo wake ( kwenye bold)
 
uandishi wako ni wa mashaka sana,kabla ya kupost uwe unaedit sehemu uliokosea maana unatuaibisha
 
Back
Top Bottom