BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo.
Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume na kifungu cha 31 na 28(1) vya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 Marejeo ya mwaka 2019.