Afisa Mtendaji wa mtaa wa Mbezi Msumi ashambuliwa hadi kufa ofisini kwake

Afisa Mtendaji wa mtaa wa Mbezi Msumi ashambuliwa hadi kufa ofisini kwake

Je, waliofanya mauaji kuna chochote walichopora au kuiba hapo ofisini...?

Kama jibu ni hapana ni dhahiri kilicho mponza Mtendaji kama sio dhulma kwenye dili za viwanja itakua ni wivu wa mapenzi.

R.I.P Mtendaji
 
Isije kuwa wamezulumiana viwanja . Mtendaji kwenye mauzo ya wote alikula cha juu
Msumi kuna biashara kubwa za kuuzina viwanja bandia, si ajabu kuwa watu walitapeliwa, ninachokiona hapa ni kulipa vizazi sio rahisi mtu ushambuliwe tu bila sababu kwa kuingiliwa ofisini mchana kweupe, swali tatanishi je huyo mtendaji alikuwa peke yake ofisini?jambo ambalo si la kawaida,kwenye hizo ofisi utakuta kuna watu wengi hadi migambo, je hawa wote walikuwa wapi?
 
Pole kwa wafiwa.
Uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini sababu za mauaaji.
tuwe macho na wale wote ambao mara zote husababisha fujo na kutaka kuhatarisha amani ya nchi yetu.
Magenge ya kihuni yachunguzwe.
Na wewe wakala wa ibilisi imengiwa na huruma.
 
ulinzi shirikishi wameshindwa kumuokoa afisa mtendaji..
Hapo ndo utaona utofauti wa mjini na vijijini mtendaji akiingia ofisini kijijini lazima mgambo watakuwa wapo nje.

Mjini anaenda peke yake R I P kiongozi naamini damu ya mtu haiendi bure watapatikana walofanya unyama huo
 
Back
Top Bottom