Afisa mtesaji NSSF Bavaria House anaitwa mama Kivea

Afisa mtesaji NSSF Bavaria House anaitwa mama Kivea

RaisMarangu

Senior Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
109
Reaction score
24
Wadau kuna mtu aweza kutusaidiakwa nini huyu mama kivea anakuwa na roho ya kuwazungusha wastaafu mpaka shirika linaingia hasara ya kuwapa wazee nauli na nauli yenyewe ni kwa shinikizo la bosimmoja mkarimu ambaye inambidi kila siku kupita reception pale bavaria house na kuhoji kila mteja ndi hapi waajiriwa wanapojifanya wako bizz tatizo likitafutwa mchawi ni huyo mama kivea ,je huyo mama yupo kwa maslahi ya nani na kwa nini wenzake wanamwogopa je ndumba au kawekwa
 
Wazee wanatesekea haki yao ya malipo shirika limeweka taratibusafi ila huyuafisa huwaanawekavikwazo ni bora aseme kana anahitaji rushwa
 
Karibu sana JF mjukuu,,peleka jukwaa husika............
 
karibu jf, nimeipenda hodi yako.
 
Nimefuatilia huyo mama kivea bila laki mbili huwezi pata mafao utazungushwa na kuambiwa hujakizi vigezo imeonekana bado upo kazini sasa unaambiwa uzibitishe je una umri wa miaka 65 utaanza mchaka chaka upya so sad
 
Back
Top Bottom