Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna stress yeyote ile.Kuwa mfanyakazi wa serikali hapa bongo ni stress sana
Kila siku wanawatesa tu
mfumo haufuti task bali ni kutokuufahamuUsinichekeshe,mi mfumo ulifuta tasks zangu zote kana kwamba huwa situmi taarifa
Mwaka ndo unafungwa mkuu.Leo ni nusu mwaka ila kuna watu wana 99 %
Kuna wengine wanatumia Calender year...usimbushue Sasa wapo nusu mwaka...mfano walimuMwaka ndo unafungwa mkuu.
Ni ujinga ujinga tu.Kama kitaalam kwenye teknolojia kubakin msikatae kushindwa nanhapa mumemdhalilisha Rais wetu.
Mifumo hii ni utapeli.
Kwa sisi tuaojua kuhusu system au mfumo huwez kuulazimishaeni huu ujanja wa kizushi. Wapandisheni maharaja watumish muanze kutengeneza mfumo wenu upya.
Huu mfumo unakasoro nyingi sana.
Mfumo unatakiwa "uongee" na anaye jazz taarifa.
Pepmis is a trap au fraud. Kwa sasa kaeni kando promote our dear workers then start again your ideals not bad
Wewe Ni hovyo kweli.Ifikie mahali watumishinwa umma mjifunze computer.Mnatia aibu,unakuta mwalimu au nesi.Hata excel hajui kutumia.Word anaina maruerue tu.Kila kazi za mfumo mbio stationery,anaacha credential zake pale.Yaani aibu tupu.
Nusu mwaka upi? Mwaka ushaisha .Leo ni nusu mwaka ila kuna watu wana 99 %
Mwaka gani umeisha!?Nusu mwaka upi? Mwaka ushaisha .
Ila kwa upande wa pili,mifumo mingi ya serikali ni butu sana.Kazi ya dk 3 kwa mkono kwa mfumo nusu saa.Alafu mfumo una milolongo mingi bila hata sababu za msingi.Mbona kama umepanic,wewe ni computer iliterate nini.
Ifikie mahali watumishinwa umma mjifunze computer.Mnatia aibu,unakuta mwalimu au nesi.Hata excel hajui kutumia.Word anaina maruerue tu.Kila kazi za mfumo mbio stationery,anaacha credential zake pale.Yaani aibu tupu.
Ujinga huo hukuti private sector.Komputer ni nyenzo muhimu sana.
Ila kwa upande wa pili,mifumo mingi ya serikali ni butu sana.Kazi ya dk 3 kwa mkono kwa mfumo nusu saa.Alafu mfumo una milolongo mingi bila hata sababu za msingi.
2023/2024, kuanzia mwezi wa saba ni 2024/2025 .Mwaka gani umeisha!?