KERO Afisa Rasilimali Watu (HR) wa Ilala ana Huduma Mbovu kwa watumishi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake.

Imefikia hatua mtumishi kwenda kupata huduma kwa huyu dada kuwa kama adhabu kwani na hata hiyo huduma yenyewe kuipata ni hadi pengine alambwe miguu kwanza.

Hakuna mtumishi pale halmashauri ya Jiji asiyemfahamu huyu HR Mboya kwa ubovu wa huduma zake na manyanyaso.

Naomba Waziri wa TAMISEMI na Wizara kwa ujumla imchunguze huyu HR maana kiukweli ni tatizo kubwa sana pale ofisini.
 
Tatizo la waafrika ndo hili mtu hayuko kazini kwa ajili ya maslahi ya watu bali yupo kazini kwa maslahi yake mwenyewe kisha mtu kama uyo akitumbuliwa atakavyo lalamika.
 
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake.

Imefikia hatua mtumishi kwenda kupata huduma kwa huyu dada kuwa kama adhabu kwani na hata hiyo huduma yenyewe kuipata ni hadi pengine alambwe miguu kwanza.

Hakuna mtumishi pale halmashauri ya Jiji asiyemfahamu huyu HR Mboya kwa ubovu wa huduma zake na manyanyaso.

Naomba Waziri wa TAMISEMI na Wizara kwa ujumla imchunguze huyu HR maana kiukweli ni tatizo kubwa sana pale ofisini.

Poleni sana.

Mtaje jina lake hapa ili aone aibu
 
Kama kuna Ushahidi basi achukuliwe hatua, Mkurugenzi amwajibishe, ila kama lao ni moja na Mkurugenzi basi RAS amwajibishe.
 
Back
Top Bottom