Afisa Tarafa kwa kingereza

Afisa Tarafa kwa kingereza

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Wadau naomba mnisadie kutranslate afisa tarafa kwa lugha ya malikia(english) ,anaitwaje.
 
katibu Tarafa wanaitwa Governor ukisema ward officer ni afisa kata na hiko cheo hakipo ila kuna mtendaji kata ambaye anaitwa ward executive officer kwa kifupi WEO na mtendaji kwa kijiji kwa kifupi anaitwa VEO
 
Tarafa ni division katibu tarafa anaitwa division secretary au division officer.......zamani aliitwa katibu tarafa sikuhizi anaitwa afisa tarafa
 
Asanten wote kwa kunisaidia,
 
Wadau naomba mnisadie kutranslate afisa tarafa kwa lugha ya malikia(english) ,anaitwaje.

zamani walikuwa wanaitwa Division Executive Officer na Wangoni walikuwa wanawaita Kitifutifu Afisa.
 
Asanten wote kwa kunisaidia,

Wewe PayGod umekuwa mwepesi kushukuru kabla hujapata muafaka. Wanajamvi wametoa tafsiri mzo mzo. Ninakushauri uufuate ushauri wa kilimasera nadhani ametoa tafsiri ambayo ni sahihi zaidi.
 
VEO, Village executive officer_Afisa mtendaji kijiji

WEO, Ward Executive Officer_afisa mtendaji kata aka Afisa tarafa
 
Ah jamaani huyo anaitwa DIVISIONAL OFFICER but kwa system yetu hapa bongo anaitwa DIVISIONAL SECRETARY yaani katibu tarafa. Unaatumia "divisional" as an adjective of division
 
Ni Katibu tarafa na sio Afisa tarafa na anaitwa Division Secretary (DS). Afisa Mtendaji wa Kata au Katibu Kata (WEO) Ward Executive Officer
 
Back
Top Bottom