cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wamejawa unafikii balaaa. Wanadhani waki hukumu wengine wao wanakua watakatifu.Kuna wezi humu,Kuna wanaotembea na wake za humu,kuna wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile humu,kuna waliouwa humu lakini leo ndio wanatoa hukumu kwa wengine
Kumbe wanaishia kuumia na kuteseka nafsini mwao.