TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

[emoji28][emoji28]Sasa nyie mnainajisi nature ndio muombewe. Ila na wewe ka unafanya hyo kitu fanya kisiri kujitangaza utaenda kupimwa na tango hospitalini rafiki yangu ooooh[emoji28][emoji28]
 
Mbona umepanic hivo bandiko refu sana tumieni akili muwe na amani kujionyesha Kwa jamii hii ya kitanzania isiyoelewa hivo vitendo vyenu ni kujiweka Kwa risk, huyo dada, tomboy angefanyaga kimya asingeuliwa kikatili hivo. So tumieni akili sio mihemko muwe salama Sasa huyo kaacha watoto, mie mwenyewe na baby wangu ila sijionyeshi ka nyie. This is not america nimeona na mange ana tag us embassy nikacheka [emoji28][emoji28][emoji28] sana USA inaangalia interest zake kiuchumi sio wafukuliwa mitaro

Kiutu, inauma sana kutoa uhai wa mtu kisa ana shutuma za kuwasaga wadada wenzake,Mungu mwenyewe ambaye anauwezo hata wakukatisha uhai wako kabla hata hakuja kucha,alimuacha aendelee kuishi,ila wewe ambaye hata kutengeneza figo ya binadamu huwezi,unashadadia dada wa watu kuuawa,daah!

Anyway Mungu ndiye mtoa hukumu ya haki,endapo ukikuta roho ya marehemu huko ilikokwenda,utahalalisha dhambi zako dhidi ya dhambi zake.
 
Saaaaaaaaaaaafi
 
kumbe ndio huyu mjinga ?

bora ameuawa pimbi huyu hana maana kabisa …
 
Afukiwe haraka haraka
Na wewe utafukiwa tu, endelea kujifanya gwiji.

Bora huyu amefukiwa akiwa ameishi maisha ya KWELI yasiyo na UNAFIKI. Kwa sasa ameenda mbinguni moja kwa moja kwa baba yake mpendwa.

Kazi ipo kwako wewe unayejifanya MTAWA wakati chumbani unapewa KIFIRO NDOIGE. Hata ibilisi atakukwepa kwa unafiki.

Na kwa hiyo roho yako chafu, ukifa lazima uwe MZIMU WA ARDHI YA MBAMBADU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…