TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Inacyoonekana kama alitekwa usiku kucha Huyu si unaona kavilia damu Halaf hayo maeneo hakuna majiran walosikia?mi nahisi itakuwa madili yao ya kazini kwao huko itajulikana tu wameshakamatwa wanne
Huyu kauawaa kupitia mambo ya kazi, ila waliotenda tukio walishajua huyu itatamba zaidi homophobia hivyo watu hawatadadisi sana, sitaki kuamini eti kisa hili la Homo hapana nakataa
 
catherinekahabi_ck

Hili ndio eneo la Tukio yaani Nyumba ya Marehemu​

KEMILEMBE FACTS ARE:- Inasemekana alikuwa akiishi Hotelini baada ya kupangisha Nyumba yake so Akawa anaendelea na ujenzi wa hii Nyumba yake mpya(Mauwaji ya kutisha yalipofanyikia)​

...Majira ya Asubuhi sana inasemekana alipigiwa simu​

ikimtaka aende Site haraka kuna ishu​

…..hapakuwa mbali na​

Hoteli alipokuwa akiishi​

..alipofika Site akavutwa ndani na​

Watu Wasiojulikana walioanza kumkata kata Vipande​

mpaka Wakamuua …...Baadaye Mafundi walipofika​

wakaanza kupiga kelele kuita Wanachi Majirani ...chanzo​

cha Mauaji hayo ya Kutisha kwa DADA ALIYEKUWA​

MSAGAJI bado hazijajulikana, yawezekana labda ni Majambazi au Adui zake,Puuzeni Taarifa zinazosambazwa na Baadhi ya Mashoga kuwa Serikali imeruhusu Wananchi wawaue Wasagaji na mashoga Hadharani, Tunaliamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake stahiki! Watanzania Tuwe na subira lakini tuendelee kupinga ushoga na usagaji​

Nimeupenda uandishi huu.
 
Na wewe utafukiwa tu, endelea kujifanya gwiji.

Bora huyu amefukiwa akiwa ameishi maisha ya KWELI yasiyo na UNAFIKI. Kwa sasa ameenda mbinguni moja kwa moja kwa baba yake mpendwa.

Kazi ipo kwako wewe unayejifanya MTAWA wakati chumbani unapewa KIFIRO NDOIGE. Hata ibilisi atakukwepa kwa unafiki.

Na kwa hiyo roho yako chafu, ukifa lazima uwe MZIMU WA ARDHI YA MBAMBADU.
Wewe inabid pia umfate huyu mwenzako
 
Mkuu Demu msagaji alikuzidi kupiga mashine kipochi manyoya haya akakuibia demu wako,bora usingesema umetuangusha sana
 
Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani

Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?

Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.
Duuh mwamba ni yeye....hatari tupu kweli malipo ni duniani
 
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.

Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.

Wenye taarifa kamili tujulisheni.

Nawasilisha.

======

UPDATE;

POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI


Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.

Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”

Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”

Pia soma
--

View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake​
Afu mbona alikua mrembo tu
Hata mzigo anao.
Hotel ya mtoto Ipo
Midomo mitamu
Mamamamae
Rest Easy Milembe
 
Tangu wezi walivyoanza kuchomwa Moto kwa matairi na petrol imepunguza wizi?

Wewe ukishaua Shoga au msagaji ndio Mungu wako anakupeleka peponi?
Na hadi muda huu polisi inawashikiria watu 4!!ni ujinga tuu!!kupoteza maisha ya mtu kwasababu ya tabia hiyo!!na wala haiwezi kuondoa tatizo hilo,haya wamemuua na wao ikibainika wamehusika wanafia jela!!
 
Kuua si support kabisa Kila mtu anayo haki ya kuishi as long as havunji Sheria, Sasa Hawa sijui LGBT wanajiletea matatizo wenyewe si wafanye kimya kimya tu, wabongo wengi wenyewe vichaa na stress
Hawataki kufanya kimya kimya hii ndio shida yao.
Sisi tulio oa wake hakuna hata siku moja tunasimama hadharani na kubusiana na wake zetu.

Tatizo la Mashoga ni kutaka kuonesha vitendo vyao hadharani kama huyo mdada.
Wabusiane hadharani sisi tuwashangilie na kuwapigia makofi na kuwasifia, na wanataka waozeshwe kwa lazima na vyombo vya umma.

Mbivu na mbichi zitaeleweka tu.
 
Kuua ni hatari sana shida nao nikama wanafanya promo huyo dada kanisikitisha sana kuondoka kinyama
Baadhi ya waswahili hasa kutoka familia masikini wakipata vihela kichele vya mshahala wanaanza kujitutumua na kuonesha umwamba hadharani.
Vitendo vya huyo mdada lazima mwisho wake uwe kama ulivyokuwa au vinginevyo.

Msishindane na hiari ya jamii, mwisho wake ndio mnakuja kulialia humu. Hoo tunapimwa na vidole tunafungwa miaka 30. Si mnajifanya viziwi makusudi. Nyie ndio wa kuumia.

Alikuwa anashindana na watu, sio kila unachotaka lazima ukipate, kuna vitu ni vya watu lazima uviheshimu hata uwe na pesa kiasi gani.
Ujanja mwingi mbele Giza.
 
Back
Top Bottom