Huyu kauawaa kupitia mambo ya kazi, ila waliotenda tukio walishajua huyu itatamba zaidi homophobia hivyo watu hawatadadisi sana, sitaki kuamini eti kisa hili la Homo hapana nakataaInacyoonekana kama alitekwa usiku kucha Huyu si unaona kavilia damu Halaf hayo maeneo hakuna majiran walosikia?mi nahisi itakuwa madili yao ya kazini kwao huko itajulikana tu wameshakamatwa wanne
Nimeupenda uandishi huu.catherinekahabi_ck
Hili ndio eneo la Tukio yaani Nyumba ya Marehemu
KEMILEMBE FACTS ARE:- Inasemekana alikuwa akiishi Hotelini baada ya kupangisha Nyumba yake so Akawa anaendelea na ujenzi wa hii Nyumba yake mpya(Mauwaji ya kutisha yalipofanyikia)
...Majira ya Asubuhi sana inasemekana alipigiwa simu
ikimtaka aende Site haraka kuna ishu
…..hapakuwa mbali na
Hoteli alipokuwa akiishi
..alipofika Site akavutwa ndani na
Watu Wasiojulikana walioanza kumkata kata Vipande
mpaka Wakamuua …...Baadaye Mafundi walipofika
wakaanza kupiga kelele kuita Wanachi Majirani ...chanzo
cha Mauaji hayo ya Kutisha kwa DADA ALIYEKUWA
MSAGAJI bado hazijajulikana, yawezekana labda ni Majambazi au Adui zake,Puuzeni Taarifa zinazosambazwa na Baadhi ya Mashoga kuwa Serikali imeruhusu Wananchi wawaue Wasagaji na mashoga Hadharani, Tunaliamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake stahiki! Watanzania Tuwe na subira lakini tuendelee kupinga ushoga na usagaji
Huyu kauawaa kupitia mambo ya kazi, ila waliotenda tukio walishajua huyu itatamba zaidi homophobia hivyo watu hawatadadisi sana, sitaki kuamini eti kisa hili la Homo hapana nakataa
Hata mi siamin kuhusu usagaji ni pesa madili ya tenda za mgodini tutajua tuHuyu kauawaa kupitia mambo ya kazi, ila waliotenda tukio walishajua huyu itatamba zaidi homophobia hivyo watu hawatadadisi sana, sitaki kuamini eti kisa hili la Homo hapana nakataa
Wewe inabid pia umfate huyu mwenzakoNa wewe utafukiwa tu, endelea kujifanya gwiji.
Bora huyu amefukiwa akiwa ameishi maisha ya KWELI yasiyo na UNAFIKI. Kwa sasa ameenda mbinguni moja kwa moja kwa baba yake mpendwa.
Kazi ipo kwako wewe unayejifanya MTAWA wakati chumbani unapewa KIFIRO NDOIGE. Hata ibilisi atakukwepa kwa unafiki.
Na kwa hiyo roho yako chafu, ukifa lazima uwe MZIMU WA ARDHI YA MBAMBADU.
Duuh mwamba ni yeye....hatari tupu kweli malipo ni dunianiMungu tunusuru sisi na vizazi vyetu
Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani
Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?
Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.
Afu mbona alikua mrembo tuNipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.
Wenye taarifa kamili tujulisheni.
Nawasilisha.
======
UPDATE;
POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI
Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.
Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”
Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”
Pia soma
--
- Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake
- Mwanza: Janeth Shonza & Milembe wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja, wakana mashtaka...
View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake
Ndio inapunguza. 1000thieves -1 = 999 thieves.Tangu wezi walivyoanza kuchomwa Moto kwa matairi na petrol imepunguza wizi?
Wewe ukishaua Shoga au msagaji ndio Mungu wako anakupeleka peponi?
Na hadi muda huu polisi inawashikiria watu 4!!ni ujinga tuu!!kupoteza maisha ya mtu kwasababu ya tabia hiyo!!na wala haiwezi kuondoa tatizo hilo,haya wamemuua na wao ikibainika wamehusika wanafia jela!!Tangu wezi walivyoanza kuchomwa Moto kwa matairi na petrol imepunguza wizi?
Wewe ukishaua Shoga au msagaji ndio Mungu wako anakupeleka peponi?
Watu wanne tayari wako ndani!!Wahusika wa tukio hili wasakwe na wakamatwe mara moja na wafikishwe kwenye vyombo vya dola stahili.
Hawataki kufanya kimya kimya hii ndio shida yao.Kuua si support kabisa Kila mtu anayo haki ya kuishi as long as havunji Sheria, Sasa Hawa sijui LGBT wanajiletea matatizo wenyewe si wafanye kimya kimya tu, wabongo wengi wenyewe vichaa na stress
Baadhi ya waswahili hasa kutoka familia masikini wakipata vihela kichele vya mshahala wanaanza kujitutumua na kuonesha umwamba hadharani.Kuua ni hatari sana shida nao nikama wanafanya promo huyo dada kanisikitisha sana kuondoka kinyama