Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
"Ndege asiyeruka hawezi kujua yalipo mavuno"Sio kweli kaka, nje ya Dar hakuna maisha kabisa. Tuliozaliwa na kukulia vijijini ndio tunaelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ndege asiyeruka hawezi kujua yalipo mavuno"Sio kweli kaka, nje ya Dar hakuna maisha kabisa. Tuliozaliwa na kukulia vijijini ndio tunaelewa.
Wewe utakuwa haujaishi DAR au kufika kabisa ..kule kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa ..yaan hata ukisema uuze nyanya Tu...unatoboa kule..mm natamani Sana nikaishi DAR...sema basi Tu sina connection...unaambiwa 3billion zipo mitaani kwa siku
Well said but tuma maombi hapoNimezaliwa Dar..
Nimesoma la kwanza mpaka form four dar..
Wazazi wapo dar inshort ni nyumbani lakini katika swala la kujitafuta kama kijana dar ni sehemu ngumu sana kila kitu utakachotaka kufanya dar kinahitaji pesa nina wanangu kibao tu ambao ni graduates wenzangu wao waliniona mimi mjinga nilipokataa kurudi dar leo hii wananiambia heri wasingeenda wengi wao wanapiga vibarua viwandani wengine wamejishkiza kwa ndugu zao ambao wanasoma vyuo huko wakiamini kesho yao itakuwa nzuri...
Mkoani nilipo nafanya shughuli ambazo hazifiki gharqma ya milioni moja...
1. Nna mradi wa kuku ambao huwa nawachukua vijijin ndani ndani nakuja kuwasukuma kwa jamaa wa semi kwenda dar..
2.Napiga udalali wa simu kwenye maduka ya vijana wenzangu waliofanikiwa kidogo kiuchumi..
Nna plan mpaka mwakani mwezi kama huu kama nikiwa sijapata sehemu ya kujishkiza niwe nimeanza kuagiza simu zangu binafsi toka dar...
Jamaa yangu katuma maombi tayari nilimtumia Tangazo,ana Elimu na Uzoefu mnaoutaka,tatizo amezidi ninyi mnataka Bachelor yeye ana Masters kabisa na uzoefu wa zaidi ya miaka 15!!sijui sasa kama mtam-considerWell said but tuma maombi hapo
Haina shidaJamaa yangu katuma maombi tayari nilimtumia Tangazo,ana Elimu na Uzoefu mnaoutaka,tatizo amezidi ninyi mnataka Bachelor yeye ana Masters kabisa na uzoefu wa zaidi ya miaka 15!!sijui sasa kama mtam-consider
Ok,nawe ni mhusika hapo Waja?nimeku-pmHaina shida
Sasa kama mimi nimeshazoea hapa mjini kupita siku bila kuingiza japo 10k kichwa changu hakitulii kabisaKijijini ni pagumu sana, maana hela hakuna alafu kufatiliana ni kwingi sana
Mbeya ni Jiji au Kijiji?• Yani nitoke Mbeya, njombe, kahama, alafu niende kutafuta maisha Dar? 🤔🤔..
• Au unaangalia population ya watu?, population ya watu haiwezi kukufanya mtu kuwa Tajiri au kuwa na maisha maisha, maisha maziri mpaka uwe na secret weapon. Tofauti na hapo utabaki kuwa msindikizaji tu milele na milele....
• Kuhusu ushirikina kila sehemu upo, huwezi kuona ushirikina kama unatafuta hela ya kula tu( change). Ndo maana tunasema mtu anaye tafuta pesa kwa nguvu zake bila kutegemea system ya serikali uchawi ni lazima kwenye utafutaji wake.
• Dar ni kazi ipi ya maana ambayo naweza kuifanya mimi mtafutaji?
. Kubeba mzigo ?
. Kuuza maji stendi ?
. Uchuuzi feri?
. Machinga?
. Baba/mama ntilie?
. Kuuza duka la mtu?
. Kusukuma tolori?
. Baharini kuvua samaki?
. Udalali stendi?
. Kupaka kucha rangi?
Kwa sababu najua kabisa mtu unayetoka mkoani huwezi kukwepa hizo kazi hapo! Labda uwe na mnyororo wa ukwasi hapo DSM..
OkOk,nawe ni mhusika hapo Waja?nimeku-pm
Na Kwann urudi kijijini mkuu? Komaa hapo hapo town, wanataka kurudi acha warudi. Ila Mimi sitokaa nihame Dar.Sasa kama mimi nimeshazoea hapa mjini kupita siku bila kuingiza japo 10k kichwa changu hakitulii kabisa
Afu uniambie niende kijijini unadhano ntakuelewa