DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Eti atafutwe. Mtumishi wa umma anatafutwa iwapo ameacha kazi. Huyo RC alitakiwa kutoa hiyo taarifa wakati hao watu wawili (mtumishi wa huo mfuko wa mafao na Afisa utumishi wa Halmashauri ya Bariadi) tayari wapo lupango ya polis hapo Bariadi.
Unaweza kukuta walisha kamatwa
 
Wamemtesa sana,huyo mtumishi.Wapewe adhabu stahki,wale wote watakaobainika kusababisha usumbufu wowote kwa huyo mtumishi.Isingefuatiliwa,isingejulikana.
 
Wamekulà sawasawa na urefu wa kambazao.

Jembe lingekuwepo saizi wangekuwa wana lala na suruali bila mkanda wakati uchunguzi unaendelea.
 
wakuu ni taasisi gani ya fedha iliyofanya uporaji wa fedha hizo kwa kushirikiana na pssf
 
Ni wakati muafaka wa hii mifuko ya pensheni kuendeshwa na wawekezaji. Tuangalie uwezekano wakushirikiana na wadau wengine itatupa manufaa zaidi

images (1).png
 
Mstaafishwa asingeporwa hizo hela asingesema.

Waanze na kumhoji mstaafishwa kwa nini alikubali kustaafishwa alipopigiwa simu
 
Back
Top Bottom