S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Jan 31, 2024 #81 Asilimia kubwa ya watumishi wa public sio waadilifu . Wamezaliwa na kukulia katika mazingira ya wizi kiasi kwamba usipoiba ukafanya halali unachekwa.
Asilimia kubwa ya watumishi wa public sio waadilifu . Wamezaliwa na kukulia katika mazingira ya wizi kiasi kwamba usipoiba ukafanya halali unachekwa.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Jan 31, 2024 #82 pilipili kichaa said: Mkuu nipeni hii inchi mimi japo kwa mwezi mmoja tu, nitanyonga haya mashetani kiasi kwamba hatainuka tena shetani mwingine ndani ya miaka 50! Click to expand... Kachukue fomu ugombee wananchi watanguunga mkono.
pilipili kichaa said: Mkuu nipeni hii inchi mimi japo kwa mwezi mmoja tu, nitanyonga haya mashetani kiasi kwamba hatainuka tena shetani mwingine ndani ya miaka 50! Click to expand... Kachukue fomu ugombee wananchi watanguunga mkono.