Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa?
1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima.
2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake.
3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu.
4. Kuna jamaaa yangu mmoja anasumbuka takribani miezi 4sasa. Yeye kila siku danadana.
5. Hatulii ofisini kila ukifika hayupo yupo kaenda kupata chakula.
Hivi Serikali inatumia vigezo kuwaaajiri watu wa namna hiii,