Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Hii Ni kweli kabisa,yupo mwingine hapa Sumbawanga anajiita Afisa utumishi mkuu na Kuna wenzie Kama wa nne hivi wapo ofisi moja,hawa watu Wana mapozi Unaweza kimbia ofisi!Sielewi nchi yetu huwa Ina Maafisa utumishi wangapi katika halmshauri moja maana Kuna uwezekano tunawalaumu kumbe sio maana Kuna halmshauri una Kuta wapo zaidi ya watatu