Kwani huko hakuna mkuu wa wilaya mpaka uje huku! Au majungu yamekufanya ukimbilie huku.Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa?
1.Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima.
2.vKuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake.
3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu.
4. kuna jamaaa yangu mmoja anasumbuka takribani miezi 4sasa. Yeye kila siku danadana.
5. Hatulii ofisini kila ukifika hayupo yupo kaenda kupata chakula.
Hivi serikali inatumia vigezo kuwaaajiri watu wa namna hiii,
Yap kaka nataka ujirekebisheKaka umeamua kunileta huku[emoji3063][emoji3063]
Kwani huko hakuna mkuu wa wilaya mpaka uje huku! Au majungu yamekufanya ukimbilie huku.
Wanazingua sana wanajifanya Miungu watu.Mtaje jina mkuu....
Hawa huwa ni kama miungu watu kwenye Halmashauri....anakwambia kusoma huendi hata kama unaenda kujisomesha mwenyewe....
RIP Hamza!
Mmmmmmhhhhh!? HayaKuna kamoja kapo Brela kachawi kupita kiasi. Kenyewe ndio kanaongoza taasisi mkuu wa hapo ni bogus mmoja hivi sijui serikali inawatoaga wapi
Ngoja tumparure kwanzaNazani maafisa utumishi wako hivyo hivyo tu et
Nazani maafisa utumishi wako hivyo hivyo tu et
Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa?
1.Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima.
2.vKuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake.
3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu.
4. kuna jamaaa yangu mmoja anasumbuka takribani miezi 4sasa. Yeye kila siku danadana.
5. Hatulii ofisini kila ukifika hayupo yupo kaenda kupata chakula.
Hivi serikali inatumia vigezo kuwaaajiri watu wa namna hiii,
Wacha wakupasue tuKaka umeamua kunileta huku[emoji3063][emoji3063]
Machawa...Mbona wana aminiwa na boss
Wengine wako smart sanaAfu maskini [emoji23]
Huyo njaaa tuuuuu halafu ni twapeliWacha wakupasue tu