Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

Sielewi nchi yetu huwa Ina Maafisa utumishi wangapi katika halmshauri moja maana Kuna uwezekano tunawalaumu kumbe sio maana Kuna halmshauri una Kuta wapo zaidi ya watatu
Hii Ni kweli kabisa,yupo mwingine hapa Sumbawanga anajiita Afisa utumishi mkuu na Kuna wenzie Kama wa nne hivi wapo ofisi moja,hawa watu Wana mapozi Unaweza kimbia ofisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…