DOKEZO Afisa utumishi wilaya ya TUNDURU ahongwa na CWT ili asiwatoe walimu kuoka CWT kwenda chama cha CHAKUHAWATA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio kwa mgongo wa hao walimu sasa. Kama cwt ina ndoa na ccm hao walimu wanahusikaje?
Hicho chama chenu CHAKUHAWATA ndio kile kilichoanzishwa na wapinzani wa serikali chenye makao yake makuu Kigoma Ujiji? Huyo mkurugenzi aliyepitisha mjiunge na hicho chama aidha hajuwi CWT ina uhusiano gani na serikali aelezwe.
 
Hizo kesi zimekua nyingi Sana, Makatibu wa cwt wilaya wanaogopa lawama ya kushindwa kuongeza Chama Kwa kuhamwa, hivyo wanapeleka hela halmshauri ili walimu wasihamishwe. Hela wanapewa watu wa masjala ili waibe fomu na nyaraka zote za kuhama chama, Maafsa utumishi na wakurugenzi pia wanapewa hela.
 
Hicho chama kipya ni waganga njaa tu.Hakuna wanachotetea hapo.Pia wajue kuwa huyo Afisa Utumishi Maganga bado na wao watamtegemea kufanikisha shughuli zao.Kwa hiyo,wakae naye waongee vizuri.
 
Nenda mahakama ya kazi ukiwa na vielelezo vifuatavyo:-

Fomu ya kujiunya na chakuhakata,form ya kujiondoa cwt zilizojazwa na umwambie kia AFISA utumishi hataki kabisa kutoa kwenye cwt!!

Uone hali itakuaje!!!
 
Sikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishiriki
Cwt Wana shida mahala
 
Sikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishiriki
Cwt Wana shida mahala
Ila sijui kama hao Cwt kama wataweza kuwazuia hao walimu kutetea mishahara yao ambayo imekuwa ikiliwa na hao Cwt kwa miaka mingi huku hawajawahi hata kujaza fomu ya kujiunga na chama hicho iitwayo TUF 15.Imekuwa kazi ngumu kumshawishi mwalimu aliyekuwa ana katwa tsh 32600 ambayo ni 2% ya basic salary na hao chakuhawata wenyewe wanamshawishi ajiunge kwao na atakatwa tsh 5000
 
Umeonaaaa eeeh
 
Sikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishiriki
Cwt Wana shida mahala
Hongera sn kwa kuachana na mkolon cwt
 
Hicho chama kipya ni waganga njaa tu.Hakuna wanachotetea hapo.Pia wajue kuwa huyo Afisa Utumishi Maganga bado na wao watamtegemea kufanikisha shughuli zao.Kwa hiyo,wakae naye waongee vizuri.
Bora waganga njaa wanaochukua elfu 5 tu hata wakiitafuna hakuna shida, kuliko cwt wanaochukua laki 4 kwa mwaka...cwt kama kikoba vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…