Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
- Thread starter
- #21
Kwa hio na ww umeandika hapoMajungu at work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio na ww umeandika hapoMajungu at work
Hicho chama chenu CHAKUHAWATA ndio kile kilichoanzishwa na wapinzani wa serikali chenye makao yake makuu Kigoma Ujiji? Huyo mkurugenzi aliyepitisha mjiunge na hicho chama aidha hajuwi CWT ina uhusiano gani na serikali aelezwe.
Utaelewa tu hoja yangu kama siyo leo hata kesho.Kama huna hoja kaa kimya
Sasa bila walimu CWT itakuwepo?Sio kwa mgongo wa hao walimu sasa. Kama cwt ina ndoa na ccm hao walimu wanahusikaje?
Nenda mahakama ya kazi ukiwa na vielelezo vifuatavyo:-Naandika haya kwa masikito makubwa makubwa sn na ninasikitika kuona sheria zinachezewa wakat sheria ziko waz na zimeweka waz kila kitu.
Afisa utumishi wilaya ya Tunduru kwa majina MASANJA CHUMA KENGESE ameamua kujitengenezea sheria zake mwenyewe na kuacha kufata sheria pamoja na miongozo ya serikali inataka nini
Naomba kuzijulisha wizara mbili zinazohusika na suala hili zichukue hatua mara moja na wasikubali kupakwa matope na mjinga mmoja.
Wizara ya kaz na ajira na mahitaji maalumu kwa kushirikiana na wizara ya utumish wa uma ndio wenye dhamana ya kudili na mambo haya ya vyama vya wafanyakazi.
Cha kusikitisha na kinachotia kichefuchefu ni kuona kuwa mkurugenzi wa halmashauri ambaye ndio bos wa huyu afisa utumishi yeye kesharuhusu walimu kutolewa kutoka CWT kwenda CHAKUHAWATA lkn eti afisa utumishi hataki licha ya kutakiwa na mkurugenz kufanya hivo.
Sasa sisi kama walimu tunajiuliza huyu afisa utumishi MASANJA CHUMA KENGESE katumwa na nani kufanya haya na anafaidika na nini?
Swali lingine ni kuwa kama mkurugenz ndio bosi wake hapo halmashaur sasa yeye anapokea maagizo kwa nani ambaye ndio bos wake mpya?
Kama bos wake mpya ni mwenyekiti wa CWT bas atuachie kaz ya utumishi na akafanye kaz za CWT.
Tunaomba kabla hatujafikisha malalamiko yetu haya kwa mh waziri mkuu tunaomba wizara husika zideal na hili suala na kulipatia ufumbuz haraka na ikiwezekana wadeal na huyo afisa utumishi ambaye hataki fata sheria wala miongozo
Kama huyu afisa utumishi ataendelea na tabia hii bas tuko tayar kufunga safar had kwa mh RAIS na kumjulisha haya na mengine mengi yaliyojificha katika halmashauri ya Tunduru
Naomba kuwasilisha
Ushaur mzurNenda mahakama ya kazi ukiwa na vielelezo vifuatavyo:-
Fomu ya kujiunya na chakuhakata,form ya kujiondoa cwt zilizojazwa na umwambie kia AFISA utumishi hataki kabisa kutoa kwenye cwt!!
Uone hali itakuaje!!!
AhahahaMtu anaitwa KENGEse unategemea nini
Tafakari upya unachoongeaHicho chama kipya ni waganga njaa tu.Hakuna wanachotetea hapo.Pia wajue kuwa huyo Afisa Utumishi Maganga bado na wao watamtegemea kufanikisha shughuli zao.Kwa hiyo,wakae naye waongee vizuri.
Ok okHicho chama kipya ni waganga njaa tu.Hakuna wanachotetea hapo.Pia wajue kuwa huyo Afisa Utumishi Maganga bado na wao watamtegemea kufanikisha shughuli zao.Kwa hiyo,wakae naye waongee vizuri.
Sikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishirikiNaandika haya kwa masikito makubwa makubwa sn na ninasikitika kuona sheria zinachezewa wakat sheria ziko waz na zimeweka waz kila kitu.
Afisa utumishi wilaya ya Tunduru kwa majina MASANJA CHUMA KENGESE ameamua kujitengenezea sheria zake mwenyewe na kuacha kufata sheria pamoja na miongozo ya serikali inataka nini
Naomba kuzijulisha wizara mbili zinazohusika na suala hili zichukue hatua mara moja na wasikubali kupakwa matope na mjinga mmoja.
Wizara ya kaz na ajira na mahitaji maalumu kwa kushirikiana na wizara ya utumish wa uma ndio wenye dhamana ya kudili na mambo haya ya vyama vya wafanyakazi.
Cha kusikitisha na kinachotia kichefuchefu ni kuona kuwa mkurugenzi wa halmashauri ambaye ndio bos wa huyu afisa utumishi yeye kesharuhusu walimu kutolewa kutoka CWT kwenda CHAKUHAWATA lkn eti afisa utumishi hataki licha ya kutakiwa na mkurugenz kufanya hivo.
Sasa sisi kama walimu tunajiuliza huyu afisa utumishi MASANJA CHUMA KENGESE katumwa na nani kufanya haya na anafaidika na nini?
Swali lingine ni kuwa kama mkurugenz ndio bosi wake hapo halmashaur sasa yeye anapokea maagizo kwa nani ambaye ndio bos wake mpya?
Kama bos wake mpya ni mwenyekiti wa CWT bas atuachie kaz ya utumishi na akafanye kaz za CWT.
Tunaomba kabla hatujafikisha malalamiko yetu haya kwa mh waziri mkuu tunaomba wizara husika zideal na hili suala na kulipatia ufumbuz haraka na ikiwezekana wadeal na huyo afisa utumishi ambaye hataki fata sheria wala miongozo
Kama huyu afisa utumishi ataendelea na tabia hii bas tuko tayar kufunga safar had kwa mh RAIS na kumjulisha haya na mengine mengi yaliyojificha katika halmashauri ya Tunduru
Naomba kuwasilisha
Ila sijui kama hao Cwt kama wataweza kuwazuia hao walimu kutetea mishahara yao ambayo imekuwa ikiliwa na hao Cwt kwa miaka mingi huku hawajawahi hata kujaza fomu ya kujiunga na chama hicho iitwayo TUF 15.Imekuwa kazi ngumu kumshawishi mwalimu aliyekuwa ana katwa tsh 32600 ambayo ni 2% ya basic salary na hao chakuhawata wenyewe wanamshawishi ajiunge kwao na atakatwa tsh 5000Sikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishiriki
Cwt Wana shida mahala
Kwa upole huu kiongozi Kuna nini? Hatujakuzoea hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Poleni sana
Umeonaaaa eeehIla sijui kama hao Cwt kama wataweza kuwazuia hao walimu kutetea mishahara yao ambayo imekuwa ikiliwa na hao Cwt kwa miaka mingi huku hawajawahi hata kujaza fomu ya kujiunga na chama hicho iitwayo TUF 15.Imekuwa kazi ngumu kumshawishi mwalimu aliyekuwa ana katwa tsh 32600 ambayo ni 2% ya basic salary na hao chakuhawata wenyewe wanamshawishi ajiunge kwao na atakatwa tsh 5000
Hongera sn kwa kuachana na mkolon cwtSikubishii Mimi pia nilikomaa kutoka Cwt hawataki watu watoke chamani kwao pambana Mzee...kwanza hata May mossi walikataza chakuwahata wasishiriki
Cwt Wana shida mahala
Bora waganga njaa wanaochukua elfu 5 tu hata wakiitafuna hakuna shida, kuliko cwt wanaochukua laki 4 kwa mwaka...cwt kama kikoba vileHicho chama kipya ni waganga njaa tu.Hakuna wanachotetea hapo.Pia wajue kuwa huyo Afisa Utumishi Maganga bado na wao watamtegemea kufanikisha shughuli zao.Kwa hiyo,wakae naye waongee vizuri.