Tetesi: Afisa wa CHADEMA Makao Makuu asema vijana wa Mbowe wanagawana mamilioni ya ruzuku kila mwezi kwa ruhusa ya Mbowe wakati majimbo yako hoi taabani

Kwa nini hukusema hayo kabla?
Cheap propaganda za kumchafua tu Mbowe

Kama kuna wizi kwa nini hukuripoti polisi au takukuru unaibuka leo ? Mpuuzi wewe
Mbona inafahamika hivyo,Mbowe alishangilia sana kifo cha Magufuli na upotoshaji dhidi ya uraia wa Hayati soon Mungu anaenda kulipa ubaya ubwela waliotenda Kidumu chama Tawala CCM
 
sisi bwaacha tunasema ni njaa tu. ila chama ni cha mapinduz tu. ndio taasisi inayojielewa
 

Haya yalitokwa 2021, unasema leo Sababu una maslahi na Lisu kushindwa, huu huwa unaitwa unafiki, na sio lengo zuri kuhusu Chama!
 
CC: Erythrocyte
Lucas Mwashambwa
Pascal Mayalla
Mmawia
 
Kwa kweli Mbowe yamemchachia safari hii. Sijui hafa akishinda uenyekiti atakuwa anaenda kwa gia gani kwa wananchi? Mana upinzani ni mkali sana ndani ya chama. Mbowe anamaliza siasa katika ugumu sana. Wale wa upande wa pili kwa sasa ni kicheko tu, huku ACT wazalendo wakipiga jaramba lwa nguvu zote.
 
Mbona CAG amekuwa anatoa hati safi Kila anapoganya ukaguzi hajawahi kusema hvyo unavyotaka kuhaminisha watu uZushi
 

Kwa hiyo wananeemeka na matunda ya uviko19. Wakati waliwakana mbele ya kadamnasi kwamba hawawatambui, kwa kuwa waliwafukuza chamani.
 
Kwa nini hukusema hayo kabla?
Cheap propaganda za kumchafua tu Mbowe

Kama kuna wizi kwa nini hukuripoti polisi au takukuru unaibuka leo ? Mpuuzi wewe
Na wewe ulipata Hardship Allowance?
 
Kwa hiyo wananeemeka na matunda ya uviko19. Wakati waliwakana mbele ya kadamnasi kwamba hawawatambui, kwa kuwa waliwafukuza chamani.
Covid 19, ni wabunge wa kuteuliwa. Hawachangii chochote kwenye ruzuku.

Hiyo ruzuku inatokana na kura alizopata Lisu kwenye Urais.

Kinachochangia ruzuku na kupata wabunge wa viti maalum, ni idadi ya kura za mgombea wa Urais na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa.
 

Yaa, kumbe wana mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa. Yule dada wa Nkasi
 
Haahaa ndo maana wale wenyeviti machawa makoo hayawakauki kwa kuropoka Ili mtu wao abaki Ili maslahi Yao waendelee kuyapata, tangu nimeona lile rundo la wale viongozi kwenda kwa mbowe nimewaza vingi Sana, pale hakipiganiwi chama Bali maslahi ya watu
Uhakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…