Tetesi: Afisa wa mgodi wa GGM uliopo Geita aliwa na mamba kisiwa cha Rubondo

Tetesi: Afisa wa mgodi wa GGM uliopo Geita aliwa na mamba kisiwa cha Rubondo

Haijafahamika vizuri kilichotokea lakini timu ya wapiga mbizi wapo ndani ya ziwa victoria eneo la tukio wanaendelea kumtafuta bado hajapatikana.
Sasa hao wapiga mbizi walidhani huyo mamba kibogoyo sio ? Labda kama wanafuta nguo zake
 
Nasikia huyu mamba alomula Afisa wa GGM nayeye kakukwa ufukweni akiwa amefariki.
walimuona akiwa kavimba tumbo ndipo wahifadhi wakaamua kumpasua tumbo ndipo wakakuta mabaki ya marehemu.
 
ni muhindi from south india alikua anaitwa reddy janadhan, ilipatikana mabaki wakafanya vipimo ikagundulika kwli ni mabaki yake, kama ilivokawaida india hindu uwa wanachoma na familia yake ilikuja toka india
 
Back
Top Bottom