the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu.
Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya (KPLC) kwa tuhuma za kudai Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme.
Mtuhumiwa, Joshua Wasakha Wangeni, alikamatwa Jumatano baada ya kumtaka mmiliki wa ghala jijini Nairobi kutoa Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme aliokuwa ameukata awali.
Kwa mujibu wa EACC, Wangeni baadaye aliafiki kuchukua Ksh.200,000, baada ya majadiliano na mlalamikaji. Lakini mlalamikaji alikataa kutoa hongo hiyo na badala yake kuripoti suala hilo kwa tume ya kupambana na ufisadi.
Maafisa wa EACC walichukua hatua haraka na kumkamata mtuhumiwa wakati akipokea hongo hiyo.
Aliwekwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kilimani na baadaye kuachiliwa kwa dhamana Alhamisi, akisubiri kukamilika kwa uchunguzi.
===
Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) have arrested a Kenya Power and Lightning Company (KPLC) employee for allegedly demanding Ksh.300,000 to reconnect electricity.
The suspect, Joshua Wasakha Wangeni, was nabbed on Wednesday after asking a godown operator in Nairobi for Ksh.300,000 to reconnect electricity which he had previously disconnected.
According to EACC, Wangeni later negotiated the ‘facilitation fee’ to Ksh.200,000 but the complainant refused to pay the bribe, instead reporting the matter to the anti-corrupt body.
EACC officers swung into action and arrested the suspect while receiving the bribe.He was detained at Kilimani Police Station and later released on bail Thursday, pending the finalization of the investigation.
Source: CitizenTvKenya