Kenya 2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

Kenya 2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa

Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa Kisayansi

Miongoni mwa walioshuhudia uchunguzi huo ni wanafamilia, wapelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), na maafisa wa IEBC

Hadi kutoweka kwake, Musyoka alikuwa msimamizi wa Uchaguzi katika Eneo Bunge la Embakasi na kisha mwili wake kupatikana eneo la Hifadhi ya Taifa ya Amboseli Jumatatu, Agosti 15.

===========================

An autopsy report has revealed that the slain Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) staff Daniel Musyoka was strangled to death.

A team of five pathologists who were deployed at Oloitokitok Sub-County Hospital Mortuary operated on his body before giving the report.

Among those who witnessed the post mortem were his family members, detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI), and IEBC officials.

The pathologists also carried to Nairobi some components for further forensic investigations.

Musyoka, 53, was assigned to Embakasi East Constituency as the Returning Officer in the Tuesday, August 9 elections.

However, the country was shocked after reports of his disappearance broke on August 11. Musyoka’s body would later be discovered at the Amboseli National Park on Monday, August 15.

His body exhibited signs of torture and was naked at the time of discovery, according to police reports.

Source: Kenyans
 
wale Jamaa waliokuwa wanataka Katiba mpya kumaliza Kelele za wizi wa kura siwasikii kabisa

baada ya Katiba mpya kupatikana sasa hivi wakipiga kura wakati wa kuhesabiwa kura zinazidi 100%
Acheni ujinga wenu ccm,mnataka kuhalalisha kitu gani?
 
Ni kama walikuwa wanataka, wanatafuta info flani.
Kumdhalilisha kwa kumvua nguo, kumtesa na kumkaba Hadi kufa inaonekanavkuna kitu walitaka awaambie au ndio kulipa kisasi.
 
Tunachowasihi ni kuendelea na utulivu uliopo. Uchaguzi umeisha kazi iendelee ili maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom