Tusubirie burudaniMnyama Zwane yupo dimba la kati Leo ni burudani
Na hata B 1 hamtapata Makolokolo SC maana ikiwa zile B 20 ziliwekwa kwenye akaunti hewa, je hizo B 8?MBAKA SASA.
Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5
Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5
5.5+2.5= 8 BILIONI
MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Mbumbumbu hizo za maandalizi aliwapa nani?MBAKA SASA.
Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5
Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5
5.5+2.5= 8 BILIONI
MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Mbumbumbu hizo za maandalizi aliwapa nani?
Lucy Eymael, Yanga ni Mbwa au Nyani wanaropoka ropoka tuIko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano
Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant afrika
Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
Rage mswahili wa Tabora alinukuliwa katika bwalo la polisi akisema "mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"Lucy Eymael, Yanga ni Mbwa au Nyani wanaropoka ropoka tu
Mkuu mpira unahusisha ushabiki ni ngumu kutenganisha hasa kwa Mimi ambae ni shabikiUko sahihi japo mada yako umeitoa kishabiki zaidi.Nimeangalia mechi ya waydad na esperence umepigwa mpira mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza vema jamaa Wana falsafa kamili ya uchezaji very entertainingKama Jana wydad na esperance ulipigwa mpira wa kiwango cha juu mwanzo mwisho full kukamiana, toe to toe hakuna nafasi ya kusema ukimbie na mpira umbali mrefu au uchelewe sekunde kadhaa, pasi zinapigwa haraka na fupi fupi Kwa speed kubwa ni mwendo wa kukimbizana hamna kupumua, nimeelewa Sasa Kwanini waarabu timu zao wamejaa wao tu, ni kwasababu ya culture ya mpira unawasuit wao wenyewe ndo mana waafrika weusi wakienda wengi hufeli sio Kwa mpira wao wa kukimbizana muda wote, wako very busy uwanjani.
Angalia kijana mdogo ulivyozeeka kwa sababu ya uchawi.Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano
Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant Afrika
Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga