AFL kuanza Leo ufunguzi ni pale Pretoria

MBAKA SASA.

Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5

Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5

5.5+2.5= 8 BILIONI

MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Na hata B 1 hamtapata Makolokolo SC maana ikiwa zile B 20 ziliwekwa kwenye akaunti hewa, je hizo B 8?

Kuongoza Mbumbumbu SC fans duniani ni raha sana kwenye nchi ya kusadikika [emoji1787]
 
MBAKA SASA.

Fedha za maandalizi ya African super league Bilioni 5.5

Simba amecheza robo Fainali ya AFL
Amelamba BILIONI 2. 5

5.5+2.5= 8 BILIONI

MBAKA SASA SIMBA AMELAMBA JUMLA YA BILIONI 8/=
Mbumbumbu hizo za maandalizi aliwapa nani?
 
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi
Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano
Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant afrika
Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
Lucy Eymael, Yanga ni Mbwa au Nyani wanaropoka ropoka tu
 
Rage mswahili wa Tabora alinukuliwa katika bwalo la polisi akisema "mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"
Ila umeona mwenyewe maana ya knock out stage na inavyochezwa sio nyie Kila mkifunga Al Ahly wanarudisha ndani ya dk 1
 
Kama Jana wydad na esperance ulipigwa mpira wa kiwango cha juu mwanzo mwisho full kukamiana, toe to toe hakuna nafasi ya kusema ukimbie na mpira umbali mrefu au uchelewe sekunde kadhaa, pasi zinapigwa haraka na fupi fupi Kwa speed kubwa ni mwendo wa kukimbizana hamna kupumua, nimeelewa Sasa Kwanini waarabu timu zao wamejaa wao tu, ni kwasababu ya culture ya mpira unawasuit wao wenyewe ndo mana waafrika weusi wakienda wengi hufeli sio Kwa mpira wao wa kukimbizana muda wote, wako very busy uwanjani.
 
Uko sahihi japo mada yako umeitoa kishabiki zaidi.Nimeangalia mechi ya waydad na esperence umepigwa mpira mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpira unahusisha ushabiki ni ngumu kutenganisha hasa kwa Mimi ambae ni shabiki
Hii mechi imeonesha mpira wa Afrika ulivyokuwa
 
Kama Jana wydad na esperance ulipigwa mpira wa kiwango cha juu mwanzo mwisho full kukamiana, toe to toe hakuna nafasi ya kusema ukimbie na mpira umbali mrefu au uchelewe sekunde kadhaa, pasi zinapigwa haraka na fupi fupi Kwa speed kubwa ni mwendo wa kukimbizana hamna kupumua, nimeelewa Sasa Kwanini waarabu timu zao wamejaa wao tu, ni kwasababu ya culture ya mpira unawasuit wao wenyewe ndo mana waafrika weusi wakienda wengi hufeli sio Kwa mpira wao wa kukimbizana muda wote, wako very busy uwanjani.
Umeeleza vema jamaa Wana falsafa kamili ya uchezaji very entertaining
 
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi

Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya Mamelody watakuwa wakiwakaribisha mabingwa wa kihistoria kutoka Misri Al Ahly
Mamelody ambao sio wazuri sana katika mechi za mtoano watakuwa na maswali ya kujiuliza kwa wababe Hawa wa mechi za mtoano

Itakumbukwa kuwa mshindi wa kombe hili kitita atakachobeba anaweza kuamua kuanzisha team nyingine na ikawa giant Afrika

Sisi watanzania kwa umoja wetu kwa uwazi ama usiri tunaiombea Mamelody ushindi mnono hii ni kutokana na waarabu Hawa kumpapasa che Malone bila huruma na kumfunga Ally Salumu kila walipotaka kumfunga
Angalia kijana mdogo ulivyozeeka kwa sababu ya uchawi.
 
Back
Top Bottom