AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa

Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL)

Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya kandanda safi mbele ya Raisi wa FIFA, Raisi wa CAF bila kumsahau Mzee Wenger.

Simba ambao FIFA wanasema ndio icon ya Football kwa ukanda huu wa CECAFA amekuwa mwakilishi pekee Afrika mashariki na kati.

Leo tena ni mechi ya pili ndani ya jiji la Angola katika dimba la Estádio 11 de Novembro.

Mchezo kati ya Petro de Luanda na Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika.

Mchezo unatarajiwa kuwa mzuri na wenye ushindani (kwasababu hakuna washuka daraja kwenye hii tournament).

Mechi ni saa 18:30
 
Kekama amecheza faulo yenye faida kumzuia mshambuliaji wa Petro De Luanda

Hata hivyo ameadhibkwa kwa kadi ya njano
 
Hii ni moja ya mechi nzuri sana
 
Mwakani zikiongezeka timu 16 hatuwezi kupata radha ya mechi nzuri kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…