New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Hamna hata hujumaNgoja tusubiri lolote linawekana Ila najua mtatolewa hata Kwa hujuma
Wanapigwa mchana kweupe ,
Ni jumanne tu hapo makolo wanarudi na sidiria za zawadi ya mwalogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna hata hujumaNgoja tusubiri lolote linawekana Ila najua mtatolewa hata Kwa hujuma
Yeap, ilikua nusu fainali ya mwaka juziKabisa lakini pia ilikua n game ya kisasi kama aijasahau hawa jamaa waliwahi kumtoa Mamelody juzi Kati kwenye CAF champions
kulikua na sababu nyinhi za kuiweka game ya jana iwe ya ufunguzi,Siangalii mechi ila nahisi ilitakiwa iwe game ya ufunguzi kuliko Ile nage ya Jana
IhefuKichekesho hiki unagusa namba ngapi??
Mtamweza? Huko angola mishahara ya dola elfu ishirini ni kawaida tu!Wakuu huyu beki wa kushoto wakuitwa Anderson wa Petro Atletico naona ana kiwango kikubwa sana anastahili kuchezea msimbazi.