AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

Hata Hawa petro sio kwamba ni wabaya ila wanazidiwa tu namna ya utumiaji wa nafasi na michezo Yao ya offside trick inawaua...
Hawapati nafasi ya kucheza kuanzia kwenye robo tatu ya mamelodi ni mwendo wa kung'atiwa meno haswa Tena mwilini hamna Cha kuachia spaces .......
Tuna la kujifunza ha
pa
Kabisa lakini pia ilikua n game ya kisasi kama aijasahau hawa jamaa waliwahi kumtoa Mamelody juzi Kati kwenye CAF champions
 
muda mwingine unapokua ugenini cheza Kwa kutomuachia spaces mpinzani kwenye final third Yako ....
Nimeona leo mamelodi na Jana al ahly

then kucheza Kwa kutumia nafasi hasa mpinzani akipoteza mpira mnatumia sekunde chache kufika kwenye 18 Yao Tena Kwa uwingi.

work rate yetu na fiziki zipo chini lakini pia wachezaji hawakimbii ipasavyo per 90 minutes......
Kuna namna ya kujifunza kucheza kikubwa ni lazima wachezaji walale na viatu haswa sio kukabia macho hasa unapokua ugenini.
 
muda mwingine unapokua ugenini cheza Kwa kutomuachia spaces mpinzani kwenye final third Yako ....
Nimeona leo mamelodi na Jana al ahly

then kucheza Kwa kutumia nafasi hasa mpinzani akipoteza mpira mnatumia sekunde chache kufika kwenye 18 Yao Tena Kwa uwingi.

work rate yetu na fiziki zipo chini lakini pia wachezaji hawakimbii ipasavyo per 90 minutes......
Kuna namna ya kujifunza kucheza kikubwa ni lazima wachezaji walale na viatu haswa sio kukabia macho.....
Mamelody ni wazuri Sana kwenye kupress na kupiga pasi za haraka kuelekea Kwa mpinzani hii mbinu imewavuruga Sana wapinzani wao ambao kila move walihisi n offside...
All in all Kizuri n kizuri lakini chenye ubora n bora
 
Yah ni sahihi kiongozi ......
angalia hata goli la kwanza jinsi walivyo interchange pale halafu jamaa akatoka Kwa nje akaupiga tena ndani akapita mwingine kwenda kufunga dah 🙌👏
Binafsi ninapenda sana wanavyocheza mamelodi na mwalimu wao Guardiola mdogo....😁🙌
 
atletico Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi
 
Attachments

  • 5B4DDE05-2669-435A-B3AA-F12D6BAC1EB4.jpeg
    5B4DDE05-2669-435A-B3AA-F12D6BAC1EB4.jpeg
    944.1 KB · Views: 2
Yah ni sahihi kiongozi ......
angalia hata goli la kwanza jinsi walivyo interchange pale halafu jamaa akatoka Kwa nje akaupiga tena ndani akapita mwingine kwenda kufunga dah [emoji119][emoji122]
Binafsi ninapenda sana wanavyocheza mamelodi na mwalimu wao Guardiola mdogo....[emoji16][emoji119]
Nikionaga Yule kocha moyoni hua namuita "black pep" he is genius anajua Sana wanacheza soka Safi na wanashinda hata mashabiki wa Petro hawana pa kulaumu maana wamezidiwa kila kitu kuanzia playing style hadi matokeo... [emoji28]
 
Back
Top Bottom