Africa bado bado: Watch "Landing in São Paulo city, Congonhas airport. Flying low over skyscrapers''

Simple, Brazil ni miongoni mwa mataifa makubwa Duniani.

Population ya Brazil ni Sawa na Kenya+ Ethiopia + Tanzania,
They deserve to have such Mega Cities.
Population ya hilo jiji pekee ni zaidi ya 12 Million,
Imagine kama Tz + Ke + Et + Ug zingeungana likawa taifa moja, hatuwezi kuwa na jiji kama Hilo? Mbona faster tu.
 
Simple, Brazil ni Miongoni Mwa mataifa makubwa Duniani.
Population ya Brazil ni Sawa na Kenya+ Ethiopia + Tanzania,
They deserve to have such Mega Cities.
Population ya Hilo Jiji pekee ni Zaidi ya 12m,
Imagine kama Tz + Ke + Et + ug zingeungana likawa taifa Moja, Hatuwezi kuwa na jiji kama Hilo? Mbona faster tu.
Jiji limepikwa likaiva, kubwa lakin wamelimudu.
 
Dah! Noma sana, kwa kweli safari bado..ila tutafika tu.
 
Sidhani kama hiyo ni ishu, cha muhimu ni watu waishio huko kwenye favelas ambao wamezibwa na hizo skyscrapers, Wabrazili wengi sana wana makazi duni sana, na wanaishi slums wanaita favelas.

Favelas Rio Brazil
1573666672396.jpeg
 
Brazil imekidhi vigezo vyote vya kuwa developed country, sasa huwa nashangaa sijui kwa nini huwa haitajwi kama developed country.
 
Simple, Brazil ni Miongoni Mwa mataifa makubwa Duniani.
Population ya Brazil ni Sawa na Kenya+ Ethiopia + Tanzania,
They deserve to have such Mega Cities.
Population ya Hilo Jiji pekee ni Zaidi ya 12m,
Imagine kama Tz + Ke + Et + ug zingeungana likawa taifa Moja, Hatuwezi kuwa na jiji kama Hilo? Mbona faster tu.
Wacha kutetea upuuzi, chukua Nai + Dar + Addiss + Kampala bado hatukaribii Sao Paulo. Period! Africa ni Shithole.
 
Brazil imekizi vigezo vyote vya kuwa developed country,sasa huwa nashangaa sijui kwa nini huwa haitajwi kama developed country
Brazili bado sana kufika katika level ya developed country, bado raia wengi ni masikini sana kama India, tofauti ya kipato kati ya tajiri na masikini ni kikubwa sana, tofauti ya maisha kati ya mjini na vijijini ni kubwa sana, bado kuna shida kubwa ya ajira, crime, poverty, slums, corruption, insecurity. Kiufupi ni bado sana, usifanfanyike na maendeleo ya vitu na majengo
 
Wacha kutetea upuuzi,chukua Nai+dar +addiss+ Kampala bado hatukaribii Sao Paulo period!!!Africa ni Shithole
[emoji38][emoji38][emoji38]hasira Za nn sasa
 
Brazili bado sana kufika katika level ya developed country, bado raia wengi ni masikini sana kama India, tofauti ya kipato kati ya tajiri na masikini ni kikubwa sana, tofauti ya maisha kati ya mjini na vijijini ni kubwa sana, bado kuna shida kubwa ya ajira, crime, poverty, slums, corruption, insecurity. Kiufupi ni bado sana, usifanfanyike na maendeleo ya vitu na majengo
Wafikie life standard ya South Korea bado wanayokaz, but incase of development wako level moja nzuri sana wanastahili pongezi
 
Wah..... Enyewe bado tuko nyuma sana. Mimi saa zingine hua najiuliza hizi magorofa zote wanafanyianga nini. That's now true definition of a mega city
 
Sidhani kama hiyo ni ishu, cha muhimu ni watu waishio huko kwenye favelas ambao wamezibwa na hizo skyscrapers, Wabrazili wengi sana wana makazi duni sana, na wanaishi slums wanaita favelas.

Favelas Rio Brazil
View attachment 1262427
That's a slum according to Brazilian standards. Cha ajabu ni kwamba hiyo mtaa ingekuwa iko Dar, haingeitwa slum. I know of so many places in Dar that look horrible than that place above but aren't recognized as slums
 
Simple, Brazil ni Miongoni Mwa mataifa makubwa Duniani.
Population ya Brazil ni Sawa na Kenya+ Ethiopia + Tanzania,
They deserve to have such Mega Cities.
Population ya Hilo Jiji pekee ni Zaidi ya 12m,
Imagine kama Tz + Ke + Et + ug zingeungana likawa taifa Moja, Hatuwezi kuwa na jiji kama Hilo? Mbona faster tu.
Kweli nilipokuwa kwenye gemu world cup ngumu kushangaa lakini tulishangaa mpaka aibu.... Licha kuwa wajanja wengi mabint bord zile za kibantu alafu nyeupe pee.. Wallah tabuu tupu Brazil..
 
That's a slum according to Brazilian standards. Cha ajabu ni kwamba hiyo mtaa ingekuwa iko Dar, haingeitwa slum. I know of so many places in Dar that look horrible than that place above but aren't recognized as slums
Taja mtaa ambao uko horrible Dar, ambako watu wanaishi bila barabara, vituo vya Afya, vyoo au UMEME. Kwanini hamtaki kukubaliana na ukweli kwamba faida moja wapo ya siasa ya Ujamaa ni kupunguza pengo kati ya tajiri na masikini. Hatukujenga majumba marefu na " malls" kubwa kama ninyi, ili kuhakikisha raia wa chini wanapata huduma za msingi, ndio sababu Tanzania inaongoza Africa katika " Inclusive index", tungekuwa na Slums, sidhani kama tungeongoza ktk inclusiveness.
 
Wah..... Enyewe bado tuko nyuma sana. Mimi saa zingine hua najiuliza hizi magorofa zote wanafanyianga nini. That's now true definition of a mega city
Wako wengi pia wanapesa kibao...
 
That's a slum according to Brazilian standards. Cha ajabu ni kwamba hiyo mtaa ingekuwa iko Dar, haingeitwa slum. I know of so many places in Dar that look horrible than that place above but aren't recognized as slums

Ni slums according to un standards!
 
Taja mtaa ambao uko horrible Dar, ambako watu wanaishi bila barabara, vituo vya Afya, vyoo au UMEME. Kwanini hamtaki kukubaliana na ukweli kwamba faida moja wapo ya siasa ya Ujamaa ni kupunguza pengo kati ya tajiri na masikini. Hatukujenga majumba marefu na " malls" kubwa kama ninyi, ili kuhakikisha raia wa chini wanapata huduma za msingi, ndio sababu Tanzania inaongoza Africa katika " Inclusive index", tungekuwa na Slums, sidhani kama tungeongoza ktk inclusiveness.
Kwn kenya malls zimejengwa na serikali?
Wacha hzo wewe
 
Kwn kenya malls zimejengwa na serikali?
Wacha hzo wewe
If only he knew that East Africa's biggest mall (Two Rivers) is 58% owned by one person (Chris Kirubi) hangeongea hata. These malls they see around Nairobi are owned by Kenyans and Kenyan companies. Hakuna mall hata moja imejengwa na serikali. Kule bongo Yani serikali inafanya kila kitu. Very lazy people
 
Back
Top Bottom