babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Sijui atakujibu na excuse ipi hapa tena,Taja mtaa ambao uko horrible Dar, ambako watu wanaishi bila barabara, vituo vya Afya, vyoo au UMEME. Kwanini hamtaki kukubaliana na ukweli kwamba faida moja wapo ya siasa ya Ujamaa ni kupunguza pengo kati ya tajiri na masikini. Hatukujenga majumba marefu na " malls" kubwa kama ninyi, ili kuhakikisha raia wa chini wanapata huduma za msingi, ndio sababu Tanzania inaongoza Africa katika " Inclusive index", tungekuwa na Slums, sidhani kama tungeongoza ktk inclusiveness.
Badala ajikite kwenye mada yeye ni ujinga tu,
Ona sasa umempa jibu kubwa kuliko uwezo wake mdogo wa kufikiri 😂😂😂